Mwilini mwako huwa kuna fungus tumboni wanaitwa candida,kwa ajili ya kusaidia mmeng'enyo wa chakula,sasa tokana na matatizo ya kiafya kama kisukari,upungufu wa kinga,presha etc,na lifestyle kama matumizi ya madawa antibiotics kupita kiasi,pombe etc ile balance inakuwa affected na hivyo inapelekea candida overgrowith,
sasa wanapoenea mwilini wanaweza kushambulia mdomoni,kooni,kwenye damu au tumboni na kwenye sehemu za siri ,in your case makende,hiyo sasa inaitwa Yeast infection,
jaribu kutumia broadspectrum cream za kupaka,ila madawa yako mengi tu,
epuka kula sukari nyingi kwani hawa fungus wanakula sukari,vitu vya cabohydrate mfano mikate etc ,epuka antibiotics,ningekuwa na mda ningekuwekea full data,huu ugonjwa wakati mwingine huwa unagoma kupona kutokana na chakula ulacho ama matatizo mengine ya kiafya kama ukimwi,kisukari etc