Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Pia zitahidi kuoga walau Mara tatu kwa siku, kama unaweza au Mara mbili na epuka kuvaa chupi.vaa bukta na hakikisha haurudii Mara mbili Kwa siku.hichi ndio chanzo cha fangasi kurudirudi kama ufanyi iv
Ninajitahidi sana kuoga mara kwa mara, kufua nguo za ndani kwa maji ya moto, kuanika nguo juani na kutumia medicated soap bila mafanikio
 
Usivae nguo zinazobana kama boxa achana nazo kabisa vaa bukta tepe inayokuacha upigwe na upepo muda wote,hakikisha unakuwa msafi mwili mzima muda wote na pia usitumie sabuni zenye kemikali Kali sana kama tetsmosol,dettol nk(sababu hapa ni kwamba mwilini kuna bacteria wazuri ambao huhitajika muda wote sasa unapo tumia sabuni zenye kemikali zenye nguvu sana kama nilizozitaja hapo juu unaua bacteria wazuri na wabaya pia sasa ukishaua Bacteria wazuri mwili unabaki bila kinga na hapo ndipo fangasi wanapopata nafasi ya kukushambulia(pendekezo langu tumia sabuni za jamaa zile za kufulia nyeupe kabisa zile zitakusaidia)) lakini pia hakikisha unakuwa mkavu muda wote sehemu hizo unyevuunyevu unachochea sana uwepo wa fangasi hasa seheme za mwili zenye mikunjo kama huko ulikokutaja.cha muhimu sana ni kuhakikisha unakuwa mkavu muda wote usivae nguo Mara mbili bila kuifua na pia usivae nguo isiyo yako au kuazimisha nguo zako hata kama utazifua tena utakaporudishiwa hakikisha nguo zako ulizozifua unazianika kwenye jua Kali la mchana zikauke kabisa.usivae nguo ambazo hazijakauka vizuri hii ni kuzuia unyevu,fua nguo zako kwa sabuni ya unga safi.usipende kuvaa nguo za mtumbani.

USHAURI HUU NI KUTOKA KWANGU NILIYEPATA TATIZO KAMA HILO NA SASA NIPO HURU.

muhimu sana kuwa mkavu sehemu za siri muda wote Fanya kila uwezalo kubaki mkavu na msafi.lala sehemu safi pia.jitahidi sana kuwa mbali na uchafu wa aina yeyete ule mwilini.
 
Ninajitahidi sana kuoga mara kwa mara, kufua nguo za ndani kwa maji ya moto, kuanika nguo juani na kutumia medicated soap bila mafanikio
TUMIA CREAM KAMA SONADERM KISHA ZIKIPOTEA MEZA VIDONGE(kaombe prescription kwa daktari) kisha Fanya usafi kuanzia paint ya nyumbani kwako na nguo ulizokuwa ukizitumia wakati unaumwa fangas, zichome zote nunua nguo mpya Kabisa(hakikisha unachoma zote isibaki hata leso) ....
 
Mkuu Dawa karibu zote zinatibu magojwa ya ngozi zinafaa ila watu wengi hawajui masharti yake hata Mahospitalini madaktari wengi ni pumba tu... hawajui kitu..

Sikia Kanunue dawa yeyote duka la dawa dawa ya Ngozi jipe adhabu ya siku tatu kamili, kama utaweza fua nguo zako zote ikiwemo soxy na viatu pia uvianike juani vizuri kwenye jua kali make sure sabuni utakayo itumia iwe ya medicated haswa Detal ni poa zaidi.

Oga vizuri siku ya kwanza unapoanza tiba, kama usiku oga kisha jipakaze hiyo dawa sehemu zenye tatizo au hata mwili mzima kisha lala na uhakikishe hugusi tena kitu kinachoitwa Maji au jitahidi usitokwe kabisa na jasho hadi masaa 24 yapite yaani net namaanisha na sabuni jaribu kutumia ya Medicated soap, jisuuze vizuri jipake tena hivyo hivyo rudia hilo zoezi siku ya tatu utajiona unapona kabisa na ngozi yako itakuwa swafi na madoa kupotea kabisa pole pole.

Vijidudu vya magonjwa ya Ngozi pale uapo paka dawa hula na dawa huwafanya kuzimia so ule muda wa kutafuta chakula muda wote hukosa na vikizimia huzinduka baada ya saa 24 au muda wowote vikiguswa na maji na maji kama tujuavyo ni element ya uhai kwa viumbe karibu vyote.

Makosa yetu ni Wadudu wanaoshambulia ngozi wakila dawa utakayoipaka haiwaui bali huwafanya kuzimia tu na kinachowaua ni kukosa msosi na watakosaje msosi jibu n kuwanyima maji na kuwatia njaa so wanapokula dawa huzimia na kuwafanya wasizaliane na siku ya tatu hufa kwa kudhoofu na bila kuacha mazalio mapya kama ukifuata nilivyokuambia..

Bila hivyo utatumia dawa za kila aina miaka na miaka hospital na hospital....
 
Hasante sana, ntazidi kufata ushauri wako.
 
Nakushauri tumia limau , hakikisha ukioga badala ya kupaka mafuta paka maji ya limau mwili mzima Mara tatu kwa siku hasa asbh na usiku unapolala kwa wiki tatu ulete mrejesho hapa.
Pia usije ukachanganya na kitu chochote . zingatia hayo tu.
Nilisumbuliwa na fangas kama yako toka mwaka 1996, lakin saiz sina hata dalili zake kwa sababu nimetibu kwa limau.pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…