Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

<br />Are you sure?[/QUOTE]
 
Udongo wenu, haupatikani mteja anahitajika alafu nyie hamko serious, hamjawa tayari kwa ajili ya hilo, jipangeni kwanza


Mbona tunapatikana, uko wapi tukupe namba za mtu wa karibu ya kwako. Namba zetu 0769302206
 
Paka ndimu,alafu uje unipe mrejesho.
 
Shukrani sana
 
Ugonjwa huu husababishwa na wadudu wanaoitwa candida na kawaida kila mwanamke anakuwa na jamii ya fangasi sehemu zake za siri na wadudu hao huwa wanamlinda mwanamke ili asishambuliwe na wadudu wengine.

Inapotokea wale wadudu wanaomlinda kuwa wengi sana ukeni badala ya kulinda mwili hugeuka na kuanza kushambulia na mwisho dalili hujitokeza na ndipo hapo tiba huwa inahitajika haraka sana ili kuzuia madhara mengine.

Kuna baadhi ya sababu zinazo sababisha fangasi kutokea ukeni na sababu hizo ni kama ifuatavyo:

Kutumia dawa za antibayotiki mara kwa mara na kwa muda mrefu, husababisha fangasi kwani dawa hizo huua wadudu wote wanaolinda mwili na kuacha uke ukiwa hauna kinga. Dawa za antibayotiki ni kama, Ampicillini, Amoxylline, Ciproflaxine, Doxylline, Erythromycine, Gentamcycine na nyingine nyingi hivyo basi, jamii isitumie ovyo dawa za antibayotiki bila ushauri wa daktari.

Sababu nyingine ni unene kupita kiasi. Mtu akinenepa anaweza kupata fangasi kwasababu unene husababisha jasho sehemu za siri nakuongeza unyevunyevu sehemu hizo pia michubuko kutokana na kubanwa na nguo ya ndani. Sababu zingine ni utumiaji wa dawa ya jamii ya steroid, dawa hizi ni kama Prednisoline, Hydrocortisone Dexameltasone na nyingine nyingi.
Hizi nazo hupunguza kinga ya mwili na kusababisha fangasi kuzaliana kwa wingi.

Pia kuna magonjwa yanayosababisha kupungua kwa kinga nayo ni kisukari, Ukimwi na magonjwa mengine yanayopunguza kinga ya mwili na kusababisha magonjwa nyemelezi.

Kuwepo na joto kupita kiasi na kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka pia husababisha fangasi sehemu za siri.

Sababu ni nyingi na hatuwezi kuzitaja zote.

Dalili

Dalili hutofautiana kutokana na mtu na mwingine ila dalili kubwa ni kutokwa na majimaji meupe wakati mwingine kama mgando wenye rangi ya njano ukiwa umeambatana na muwasho sehemu za ndani au kwenye mashavu ya sehemu za nje za siri.

Nje ya sehemu hizi za siri hutokea wekundu na maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo la ndoa.

Pia mgonjwa atajikuta akikojoa mara kwa mara. Tiba na ushauri Fangasi hutibika vizuri nakupona ila ni vizuri ukaenda hospitali na kufanyiwa kipimo cha mkojo ambapo chembechembe za yeast huonwa vizuri kwenye darubini.

Baada ya kupima ukigundulika una fangasi sehemu za siri njoo *Eden Herbal* tukupatie tiba yenye uhakika.

Usinunue dawa hovyo na kutumia utasababisha usugu wa fangasi, hivyo kutopona.

Kwa ushauri na matibabu ya fangasi zozote wasiliana na madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Uzazi
 
Udaktar wako n kama wa dr ndodi au dr mwaka. Ama ni udaktar wa kusomea?
 
..uke ni complicated sana,siuelewi kabsa as I don't understand the owners [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…