kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
mkuu fanya ivyo bila ya kukosa na mimi nifurahie tendo la ndoa kama zamaniKunamafuta flani hivi nikifika home nitayaangalia jina ili ununue au nikuuzie maana Mimi nilioga sikumoja maji ya chumvi ukanishika umenitesa sana but nilipopata dawa umekwisha kabisa
mkuu juzi nilijaribu kulifanya hilo zoezi lakini matokeo yake mende na panya walijua msosi sikupata usingizi kwa kweli.Hiyo ni fungus nenda duka la dawa wakupe dawa ya fungus za pumbu.
Sababu kubwa ni kuvaa chup za kubana na nguo ambazo hazikukauka vizuri pamoja na kurudia nguo za ndani.
Njia nyingine ni kusubiri wakati pale limekakamaa lipakae mafuta ya kupikia then utaoma kuna ukoko ambao unaweza upandua na ukisugua unatoka.
Baada ya hapo utapona kabisa
I guess hauko serious unachangamsha genge all the bestmkuu juzi nilijaribu kulifanya hilo zoezi lakini matokeo yake mende na panya walijua msosi sikupata usingizi kwa kweli.
auwezi kuziangalia mala mbili mjomba zina tisha sana.weka picha mkuu... maelezo pekee hayatoshi
mjomba unataka nifanyaje ili wewe uamini.I guess hauko serious unachangamsha genge all the best
Nmekupa solition so ka waumwa kweli itazngatiamjomba unataka nifanyaje ili wewe uamini.
Avatar yako na ushaur wako mkuu haviendani kabsa,,,hahhshaaaamkuu unatokea upande wa malawi nini,maana huko na ndiko wanapotumia chupi za vip mpaka leo hii,mi nakupa ushauri zimwagie nyunyizia petrol chukua jiko la mkaa lielekee mpaka petrol yote ikauke utakuwa umepona kabisaaaa!
ok aksante kwa kunikumbusha si unajua tena!Avatar yako na ushaur wako mkuu haviendani kabsa,,,hahhshaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]weka picha mkuu... maelezo pekee hayatoshi
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Hiyo ndimu asisahau kuchanganya na pilipili.
tuliuita hivo piaKipindi nasoma tulikua tunaita pumb.u erosion.
Ulikua unawapata watu wachafu chafu.
Wale wanaonuka taulo.
tuliuita hivo pia
asante sana ndugu yng ntaitafua iyo kituNenda duka la dawa ulizia unisten tubel,ukishaoga kausha pumbu kwa kitambaa safi Kausha paka.asubuhi na jioni.ila na shemeji nae atumie.