kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
duu limau .mjomba kwani dawa hiyo?Mmmh,
Oga sugua sn then paka limau maji yake.Ni fungus tu hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duu limau .mjomba kwani dawa hiyo?Mmmh,
Oga sugua sn then paka limau maji yake.Ni fungus tu hao
HahaaaHiyo ndimu asisahau kuchanganya na pilipili.
Kwanini usimwone daktari?Salaam waungwana
ndugu waungwana nimepatwa na ugonjwa wa ajabu ambao unanikosesha raha mpaka sasa,
hivi niandikapo naandika kwa shida,
siujui unaitwaje huu ugonjwa mimi nimeubatiza nauita pumbukavu kusudio la kusema hapa ni kupata ushauri ni dawa gani naweza kutumia ili niondokane na haya madhila, maana kuna dawa ninatumia sijaona mafanikio ,
Dah ugonjwa wenyewe ni pumbu zinakuwa kavu papo hapo zinawasha kupita maelezo na zinanyorodoka kama pumbu za mzee vile,
Imekuwa ni aibu hata kusimama mbele za watu maana kila ukikuna ndio kama umeziruhusu kubadilisha rythim ya ukali nisiwafiche kwa huu utamu nimeutafutia kibumvi
sababu kucha sina kwa ajili ya huu utamu
lakini waswahili wanasema penye utamu ndipo penye madhara,naomba mnisaidie
Nimekuwa kama mwanamuziki wa kufoka foka kila wakati kushika mbeleni bado kupewa kipaza sauti nimwage mistari
Yaani ni aibu hata shemeji yenu sina hamu nae tena
Naomba mnisaidie ushauri maana mficha maradhi mauti humuumbua
Nasubir ushauri wenu
Na pia nguo za ndani zote asifue kwa maji ya moto, jiki na kisha azipige pasiMmmh,
Oga sugua sn then paka limau maji yake.Ni fungus tu hao
hapa kwenye punyeto panaweza kua kweliHebu kwanza badilisha tittle, hiyo alafu tumia lugha nzuri kidogo.
Hiyo ni dalili ya magongwa ya Zinaa ambayo ni hatari sana kwa afya yako ya uzazi, itapekekea kuwa mgomba kabisa kama huta chukua hatua mapema.
1; acha kabisa kushiriki tendo na mwenzi wako kwa sasa ili kumuepusha na tatizo hilo.
2; kama hukuwahi kuchepuka basi mchunguze vizuri mwenzi wako unaweza kuwa chanzo hata kama madhara bado hayajaanza kujitokeza kwake kutokana na tofauti ya kimaumbile. Chukua hatua kumsaidia mapema.
3; wahi haraka hospital , ukapate matibabu mapema kabla Madhara hayajawa makubwa.
Note, Tatizo hilo pia linaweza kusababishwa na kutojisafisha kwa muda mrefu baada ya tendo au wale wanapiga nyeto Mara kwa Mara na kutokujisafisha. Na kupelekea mgandamizo.
Kama unahusika na moja kati ya hayo basi jitahidi kubadilika.
Ahsante.
mjomba bola ungekaa kimya tu petrol na moto wapi na wapimkuu unatokea upande wa malawi nini,maana huko na ndiko wanapotumia chupi za vip mpaka leo hii,mi nakupa ushauri zimwagie nyunyizia petrol chukua jiko la mkaa lielekee mpaka petrol yote ikauke utakuwa umepona kabisaaaa!
sasa nitumie dawa gani?Fangasi
nashukuru sana mjombaEnzi za hizo tupo boarding huo ugonjwa ulitusumbua sana unaitwa pumbu jero sema kuna dawa inaitwa gentrisone ndo suluhisho
yani shombo ya samaki au sio?Zitakuwa zinanuka ki feriferi
Hiyo ni fungus nenda duka la dawa wakupe dawa ya fungus za pumbu.Salaam waungwana
ndugu waungwana nimepatwa na ugonjwa wa ajabu ambao unanikosesha raha mpaka sasa,
hivi niandikapo naandika kwa shida,
siujui unaitwaje huu ugonjwa mimi nimeubatiza nauita pumbukavu kusudio la kusema hapa ni kupata ushauri ni dawa gani naweza kutumia ili niondokane na haya madhila, maana kuna dawa ninatumia sijaona mafanikio ,
Dah ugonjwa wenyewe ni pumbu zinakuwa kavu papo hapo zinawasha kupita maelezo na zinanyorodoka kama pumbu za mzee vile,
Imekuwa ni aibu hata kusimama mbele za watu maana kila ukikuna ndio kama umeziruhusu kubadilisha rythim ya ukali nisiwafiche kwa huu utamu nimeutafutia kibumvi
sababu kucha sina kwa ajili ya huu utamu
lakini waswahili wanasema penye utamu ndipo penye madhara,naomba mnisaidie
Nimekuwa kama mwanamuziki wa kufoka foka kila wakati kushika mbeleni bado kupewa kipaza sauti nimwage mistari
Yaani ni aibu hata shemeji yenu sina hamu nae tena
Naomba mnisaidie ushauri maana mficha maradhi mauti humuumbua
Nasubir ushauri wenu
Na fangasi inasababishwa na uchafu sasa sijui kama lichupi lako likojeFangasi