Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jitahid kutokurudia boxer hyo bila Shaka itakua fungus. Tafuta dawa inaitwa FRUKONAZI.
 
Kuna jamaa alipat pumbu erosion Pugu sec . Akaona akomeshe kwa kuweka conc sulphiric Acid,, alipiga kelele mpaka ikabidi alale kifo cha mende wanafunzi wenzake wapulize na ungo mpaka maumivu yaishe.. baada ya hapo pumbu erosion kwish ahabari yaje.. na wewe jaribu mkuu...
 
Pole sana Mzee baba, Ila nimeshindwa kujizuia kucheka kwa jinsi ulivyowaslisha, Ila itabidi umwone daktari, dahh!!! Itabidi wakukabidhi kipaza sauti ujifanye unashusha mistari kumbe unayakuna kiaina
 
H ah ha ha hhah ha hha ha

unachekesha wanajamvi wewe
 
Pole sana Mzee baba, Ila nimeshindwa kujizuia kucheka kwa jinsi ulivyowaslisha, Ila itabidi umwone daktari, dahh!!! Itabidi wakukabidhi kipaza sauti ujifanye unashusha mistari kumbe unayakuna kiaina
daaa mwanangu hii kitu simchezo
inabidi uzunge kimtindo wa kufoka
 
Hao ni fungus

Tafuta dawa ziko nyingi sana pharmacy

Wale Pugu boys na Minaki boys hawapati shida juu ya hilo maana wana experience nalo[emoji23]
 
Hiyo ni moja wapo ya dalili ya ' mbaaaaaaaaaliiiiiiii ' sana ya VVU/UKIMWI kama siyo ' Fungus ' sugu na usipoangalia unaweza ukapoteza hiyo ' Mipumbu ' yako na ukafa. Wahi kapime HIV/AIDS na Fungus tafadhali.
 
duh. ishakua noma sasa.na mimi nilikua sipitwi na mambo
 
Hapa unwelcome za kulaks seven zlizo hasirika kW ugonjwa huo je kama maradhi yameshambulia ndani aidha ndani ya mdomo hapo inakuaje??
 
Hili suala la kuwashwa koro usiku wakati nikitaka kulala ni mimi tu au kwa wote? Naomba msaada nijue kama langu nitafute spitali ya kwenda! Kama letu sote tuendeleeni na raha za kujikuna[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…