Kwetu Iringa
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 355
- 89
Madaktari hawatibu kwa njia ya simu, barua wala kwa njia ya mitandao. Usiende pharmacy maana pharmacists hawajafundishwa kutibu. Nenda hospitali ukaonane na qualified doctor.
UTI haiambukizwi kwa njia ya kutumia public toilets. Fungus ya ndani ya uke wa mwanamke (candidiasis) pia haiambukizwi kwa njia ya kutumia public toilets. Fungus ya ngozi ndiyo inaweza kuambukizwa kwa ku-share toilets.
asante kwa elimu mkuu! Sasa hiyo UTI na fungus za ndani za m'mke huambukizwaje na chanzo chake nini?
<br />Mkuu unataka kuniambia wanaume hawapati huu ugonjwa
Hizo picha sio ndio maradhi yenyewe mkuu? Usitishike mkuu.Du hizo picha zimenitisha vibaya mno!