Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 320
Safi sanaNdugu pole kwa hilo,
Fungus ikiwa niya uken haina haja ya tubes hizo cz hao fungus wako ndan tayar na huenda wako kwenye mfumo wa dam,
Hiyo kuna haja ya kutumia dawa za kumeza siyo za kupaka tena
Atumie dawa inaitwa
Griseofulvin,,,ni vidonge vya kumeza
Weny utalaam zaid wanakuja,lakin hiyo nakuhakikishia atapona,
Zingatia,kama ana mtu wake wakumwingia,lazima watumie dozi wote,
USAF na maji ya kunywa ni lazm,
Uguza pol
atumie dawa inaitwa gynozol za Egypt. Inakuwa vidonge 3 anatumia kwa siku 3 kila siku anaingiza kimoja wakati wa kulala(atapewa maelekezo na muuza). na akishamaliza dozi azingatie mambo yafuatayo, chupi zake awe anaanika nje kwenye jua asivae chupi iloanikwa ndani, baadhi ya condoms pia zinasababisha fungus, baadhi ya pad pia zinasababisha fungus.Habari JF DOCTORS, samahani naombeni msaada, mpenzi wangu anasumbuliwa sana na muwasho ukeni mara kwa mara, kaenda sana hospitali wanampa dawa na cream za kupaka, lakini hali inajirudia jirudia, akitumia dawa anapata nafuu temporary baada ya siku kadhaa hali inaanza tena, je tatizo hili linasababishwa na nini? suluhisho la kudumu ni nini? naombeni hata kama kuna tiba mbadala mtushauri ili atumie maana za hospitali naona kama zimemzoea sana
Ulishawahi kwenda hospitali kuonana na matabibu??Msaada kwa yule anayejua dawa au tiba jamani,niko DAR ES SALAM huwa nikija dar huku ugonjwa huwa naupata abao na dalili zake .........
(1)muwasho
(2)maumivu
(3)kutoka kwa mabaka meusi kama unba sehemu za korodani