Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Msaada kwa yule anayejua dawa au tiba jamani,niko DAR ES SALAM huwa nikija dar huku ugonjwa huwa naupata abao na dalili zake .........
(1)muwasho
(2)maumivu
(3)kutoka kwa mabaka meusi kama unba sehemu za korodani
Umepima HIV mkuu
Kama bado kwanin
 
Msaada kwa yule anayejua dawa au tiba jamani,niko DAR ES SALAM huwa nikija dar huku ugonjwa huwa naupata abao na dalili zake .........
(1)muwasho
(2)maumivu
(3)kutoka kwa mabaka meusi kama unba sehemu za korodani
vmoney vanessa una korodani ?
 
Msaada kwa yule anayejua dawa au tiba jamani,niko DAR ES SALAM huwa nikija dar huku ugonjwa huwa naupata abao na dalili zake .........
(1)muwasho
(2)maumivu
(3)kutoka kwa mabaka meusi kama unba sehemu za korodani
V money anakorodani[emoji23] [emoji23]
 
nenda hospital mkuu ayo mambo ya sehemu za siri yanakuaga na differential nyingi sana!! unaeza kuta sio fungus ni kitu kingine
 
Ametumia utaratibu upi, mpaka amepona Kuna mwenzangu anatatizo Hilo pia.Tushahudhuria sana hospitali lkn tatzo bado lipo
 
Back
Top Bottom