Mi ni kidume ndgUmejifungua lini na ulipojifungua ilikandwa vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni kidume ndgUmejifungua lini na ulipojifungua ilikandwa vizuri?
Sawa ndgOoh sawa pole nilijua Ke.
Samahani.
Hiyo ni fungus ndugu..tumia dawa ya kupaka/cream inaitwa Terbinafin na vidonge vya kumeza Fluconazole kil siku kimoja kwa muda wa week mbili
BarkiwaHiyo ni fungus ndugu..tumia dawa ya kupaka/cream inaitwa Terbinafin na vidonge vya kumeza Fluconazole kil siku kimoja kwa muda wa week mbili
AsanteMkuu kama ulivyosema umetoka kwenye soft water na kuhamia kwenye hard water hilo ndo tatizo hasa!! So ni suala la muda mwili ukizoea hyo hali itapotea tu yenyewe wala usihangaike.
Barkiwa
Kwa usafi,nazingatia ,3timesKiujumla brother unatakiwa uongeze kasi ya usafi wa sehemu vinginevyo dawa zote utamaliza, utapona leo baada ya mwezi zitarudi
Mkuu unajua hizi mambo ukimface mtu anaweza kuzimia na akahama nyumba...Sasa mkuu si ngewaambia hapo hapo kwenye hiyo nyumba, ila tunashukuru na wa huku nao wamekusikia
Happy new year.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajua hizi mambo ukimface mtu anaweza kuzimia na akahama nyumba...
Nachojua mwanamke mmoja akielimika wengine 30 watamfata
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata ushauri post za juu, pia usichangie vifaa ya kuogea na watu.Nishida tupu kujikuna hadi vidoda zatoka tusaidiwe tafathali