Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mkuu kama ulivyosema umetoka kwenye soft water na kuhamia kwenye hard water hilo ndo tatizo hasa!!

So ni suala la muda mwili ukizoea hyo hali itapotea tu yenyewe wala usihangaike.
 
Hiyo ni fungus ndugu..tumia dawa ya kupaka/cream inaitwa Terbinafin na vidonge vya kumeza Fluconazole kil siku kimoja kwa muda wa week mbili
 
Hiyo ni fungus ndugu..tumia dawa ya kupaka/cream inaitwa Terbinafin na vidonge vya kumeza Fluconazole kil siku kimoja kwa muda wa week mbili

SAMAHANI NAOMBA NIONGEZE SWALI HAPO JE HIZO FUNGUS ZINA MADHARA GANI KWA MTU, AU KWENYE REPRODUCTIVE SYSTEM YA MTU UKIHUSIANISHA NA UZAZI.
 
Mkuu kama ulivyosema umetoka kwenye soft water na kuhamia kwenye hard water hilo ndo tatizo hasa!! So ni suala la muda mwili ukizoea hyo hali itapotea tu yenyewe wala usihangaike.
Asante
 
Wakuu habari zenu..

Bwana leo kiukweli nimechefuka kabisa na hizi tabia za dada zetu kiukweli, jamani wanawake ni wazuri nje ila ndani ni wachafu wachafu wachafu (sio wote).

Hivi wewe dada yangu ujihurumi mwenyewe na huyo unayemvalia chupi na tait muda wote?

Hivi tabia za kuanika chupi zenu na taiti bafuni nan kawafundisha? Unaisi bafuni ni salama kuanika nguo za mwili?? Kama ndiyo kwa nini nguo zingine tunaanika juani?? Kwa hiyo wale ni wajinga ety.?

Wakuu nimeingia bafu mmoja kwa nyumba flan hivi aisee bafu sio bafu ni store za nguo za ndani.. yaan nimekuta chupi kama zote na taiti zimeanikwa hapo, afu sio kama kuna space from moja to nyingine hapana zimegandana ( kwa haraka haraka zile chupi ni za watu kama wa 5 hv maana kuna Kubwa na kuna ndogo)

Sasa najiuliza hiv wadada wa ile nyumba ni salama kweli huko kwenye k** zao maana nachojua mm.. ukianika nguo ndani au bafuni hunyauka na sio kukauka ( elewa hapo) maana yake kama imenyauka ikikutana na joto lolote lazima ivunde hiyo nguo.. ila kama imekauka ata ikutane na joto la haina gani aiwezi kuvunda..

Nachojua wadada huko chini ni joto juu ya joto ( especially wa dar ) Tait na chupi zote hazijaonja jua yaan zimenyauka tu na ww umezutupia pwaaaaah.. lol unataka kusitoe harufu huko? Unataka fangasi wasikutafune? Jaman badiliken dada zangu nguo zenu anikeni nje kwenye jua au chafu zinaukoko mnaogopa watu wataona?? .. uchafu utabaki wako jitunze afya yako, sasa mpaka mtoto mdogo chupi zake bafuni baada ya miaka 20 huyo mtoto huko chini atakuwa salama??

Mwanamke msafi awezi kuanika nguo zake za ndani bafuni ata kidogo.. wanao anika bafuni wengi ni wachafu wanaona aibu maan wengine vyupi zao oversize[emoji23][emoji23]

Mwenye masikio na asikie sababu jua tumeumbiwa kukausha nguo zote sasa nyie kumzihaki Mungu jua likaushe tu suruali na mashati [emoji23][emoji23] ni dhambi..

Happy New year!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishida tupu kujikuna hadi vidoda zatoka tusaidiwe tafathali
Fuata ushauri post za juu, pia usichangie vifaa ya kuogea na watu.
Kama imejirudia rudia mara nyingi, usitumie dawa za kupaka peke yake ongeza na vidonge (griseofulvin 500mg kutwa mara 3 kwa siku 14 kama ni mtu mzima) ni nzuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…