hiyo 500mg ni kidonge kimojaFuata ushauri post za juu, pia usichangie vifaa ya kuogea na watu.
Kama imejirudia rudia mara nyingi, usitumie dawa za kupaka peke yake ongeza na vidonge (griseofulvin 500mg kutwa mara 3 kwa siku 14 kama ni mtu mzima) ni nzuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera ulitumia dozi gani tusaidiane nduguWanajamvi heshima kwenu,
Mimi nilisumbuliwa na fangas kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri, lakini namshukuru mungu nimepona ila wakati naumwa mapaja yangu yalibadilika na kuwa meusi sana mpaka yanakawa yanatisha sana ila kadri siku zinavyosonga yanaanza kubadilika.
Sasa, naja kwenu JF Doctors kwa ushauri wenu kuwa nawezaje kupata dawa ya kupaka ya kuweza kuondoa huo weusi?
Nitashukuru sana wandugu endapo nitafanikiwa kwa hili
Naomba kujua dawa ya fangus iliyo ndani ya mwili let say ndani ya uume, ya kienyeji au dukani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua dawa ya fangus iliyo ndani ya mwili let say ndani ya uume, ya kienyeji au dukani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ugonjwa mzee unaitwa PUMBU EROSION.Habari wadau,Kama kichwa Cha bandiko kinavyo eleza je Ni Aina gani ya ugonjwa huo?
Chukua ile dawa zamani tulikuwa tunaiita PPF (Sijui siku hizi kama ipo) changaya na mafuta ya vaseline alafu paka, kesho utaona matokeo.Habari wadau,Kama kichwa Cha bandiko kinavyo eleza je Ni Aina gani ya ugonjwa huo?
Huo ugonjwa mzee unaitwa PUMBU EROSION.
inapelekea hiyo ngozi ngumu baadae kuchubuka tena kisha pumbu lote linakua jekundu...hilo halina shida,shida ni pale pumbu litakapogusana na suruali au ngozi wakati wa kutembea,mzee utahisi this world is not your home.
Ugonjwa huu kwa waliosoma shula za boys za serikali ndio wanajua balaa lake...
Ubaya ni kwamba haunaga dawa,ukiamua tu unapona wenyewe.
Punguza kuvaa boxer mbichi,usifuge mavuzi sana,halafu usile midemu michafuchafu isiyojua kujiswafi.
Korodani mzee linda kuliko mboni ya jicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app