futurestar
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 245
- 77
asante wacha nitumie na hiliUkipata cream jamii ya allylamines kwenye pharmacy kubwa itakufaa sana.
Ukioga hakikisha umejikausha kabisa na taulo
Usishirikiane taulo na mtu mwingine na ufue kila wiki na kulianika juani.
Paka dawa mara mbili au tatu kwa siku, asubuhi ukiamka, lunch time na kabla hujalala.
Baada boxer za cotton.
Jamani naombeni msaada, Tabu yangu iko pale pale kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa.
Fangasi sehem za siri imekuwa tatizo kwangu nashindwa nifanye vipi ili nipone niametumia dawa aina tofauti lakin tatizo liko pale pale.
nimejaribu kufuatilia mtandaon huu ugonjwa unaitwa JOCK ITCH(tinea cruris) sasa kwenye suala la matibabu ndio imekuwa tabu kwangu.
naombeni msaada wana jamvi wenzangu kwa yeyote mwenye ufaham na hili.
Mkuu mimi huwa nakupenda kwa hivi; Hauna kiburi katika kumsaidia muhitaji. Kunako thread za afya, mimi kwako ni wa kwanza kukutupia jicho. AsanteUkipata cream jamii ya allylamines kwenye pharmacy kubwa itakufaa sana.
Ukioga hakikisha umejikausha kabisa na taulo
Usishirikiane taulo na mtu mwingine na ufue kila wiki na kulianika juani.
Paka dawa mara mbili au tatu kwa siku, asubuhi ukiamka, lunch time na kabla hujalala.
Vaa boxers za cotton.
Nilianza kupata muwasho sehemu ya korodani mbili zikiwasha sana
Na uume ukawa unawasha kwenye kichwa nikaenda hospital kucheki magonjwa ya zinaa kama HIV Kaswende na kisonono na damu pia nikakutwa nipo salama kabisa
Sasa hivi katika kutafuta suluhu na kupitia pitia mitandaoni nikakutana na habari ya fungus dalili za fangas za sehemu za siri kwa wanaume zote ninazo kwasababu
- ndani ya uume kuna muwasho
Ngozi ya nje ya korodani inawasha
eneo katikati ya makalio na kuzunguka korodani hadi kwenye mapaja panawasha sana hadi kero
Kichwa cha uume kimebadilika na kuwa chekundu na kuwasha hususan wakati wa kuoga wakati najisafisha au kujisugua
Pia sahivi nimeanza kupata muwasho sehemu za mapajani yaani ikifika muda fulani panawasha balaa
Naombeni mnishauri jee dawa za hizi fungus ninini hizi za wanaume?vipi mliougua hili tatizo mlisolve vipi?
Naona umeandika ukiwa usingiziniSubiri tuamke asubuh