futurestar
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 245
- 77
asante wacha nitumie na hiliUkipata cream jamii ya allylamines kwenye pharmacy kubwa itakufaa sana.
Ukioga hakikisha umejikausha kabisa na taulo
Usishirikiane taulo na mtu mwingine na ufue kila wiki na kulianika juani.
Paka dawa mara mbili au tatu kwa siku, asubuhi ukiamka, lunch time na kabla hujalala.
Baada boxer za cotton.