Decoration
Member
- Oct 27, 2018
- 63
- 89
Duka la dawa si ndio?yaap ni kunywa?Me nilinunua kwa tsh 5000 tu
Una mda gani tangu umeanza kuumwaBado jee ni dawa gani spesheli kwa hili?
Week ya nne hiii naianzaUna mda gani tangu umeanza kuumwa
Inakeraa sana mkuuPumbu erosion tulikuwa tunaita.
Pharmacy ni yakupakaa baada yakuogaDuka la dawa si ndio?yaap ni kunywa?
Shukran..Pharmacy ni yakupakaa baada yakuoga
Wacha uzuzu yesu Ndio atakuja kumtibuMkuu pole sana najua inawezekana umeshindwa hata kulala....lakini nakwambia hakika ukiwa na Yesu hakuna jambo litaharibika wala gojwa litakusumbua.
[emoji3] umenikukumbusha mbalimkuu wai hospital . Pia nakushauri usi google izo dalili .. ku google dalili za ugonjwa ni njia ya kujiaminisha muda kufa umefika
mkuu wai hospital . Pia nakushauri usi google izo dalili .. ku google dalili za ugonjwa ni njia ya kujiaminisha muda kufa umefika
Nilianza kupata muwasho sehemu ya korodani mbili zikiwasha sana
Na uume ukawa unawasha kwenye kichwa nikaenda hospital kucheki magonjwa ya zinaa kama HIV Kaswende na kisonono na damu pia nikakutwa nipo salama kabisa
Sasa hivi katika kutafuta suluhu na kupitia pitia mitandaoni nikakutana na habari ya fungus dalili za fangas za sehemu za siri kwa wanaume zote ninazo kwasababu
- ndani ya uume kuna muwasho
Ngozi ya nje ya korodani inawasha
eneo katikati ya makalio na kuzunguka korodani hadi kwenye mapaja panawasha sana hadi kero
Kichwa cha uume kimebadilika na kuwa chekundu na kuwasha hususan wakati wa kuoga wakati najisafisha au kujisugua
Pia sahivi nimeanza kupata muwasho sehemu za mapajani yaani ikifika muda fulani panawasha balaa
Naombeni mnishauri jee dawa za hizi fungus ninini hizi za wanaume?vipi mliougua hili tatizo mlisolve vipi?
weka picha tuone ili tujue jinsi gani ya kukushauriNilianza kupata muwasho sehemu ya korodani mbili zikiwasha sana
Na uume ukawa unawasha kwenye kichwa nikaenda hospital kucheki magonjwa ya zinaa kama HIV Kaswende na kisonono na damu pia nikakutwa nipo salama kabisa
Sasa hivi katika kutafuta suluhu na kupitia pitia mitandaoni nikakutana na habari ya fungus dalili za fangas za sehemu za siri kwa wanaume zote ninazo kwasababu
- ndani ya uume kuna muwasho
Ngozi ya nje ya korodani inawasha
eneo katikati ya makalio na kuzunguka korodani hadi kwenye mapaja panawasha sana hadi kero
Kichwa cha uume kimebadilika na kuwa chekundu na kuwasha hususan wakati wa kuoga wakati najisafisha au kujisugua
Pia sahivi nimeanza kupata muwasho sehemu za mapajani yaani ikifika muda fulani panawasha balaa
Naombeni mnishauri jee dawa za hizi fungus ninini hizi za wanaume?vipi mliougua hili tatizo mlisolve vipi?
Hii sio dawa ya fungus, ni just anticeptic.Nunua dawa ya Iodine tincture. Vaa gloves, paka na pamba sehemu zenye muwasho. Ila kabla ya kulipaka pumbu, hakikisha unalipaka with a thin layer of lotion then iodine inafuata. Ukilipaka Iodine hivi hivi, cha moto utakiona.
Believe me or not! Hii dawa ikifeli kutibu fungus, hakuna dawa ingine inayoweza kutibu... Hakuna dawa inayoisogelea iodien tincture kwa kutibe. Not even close...Hii sio dawa ya fungus, ni just anticeptic.