Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

mkuu wai hospital . Pia nakushauri usi google izo dalili .. ku google dalili za ugonjwa ni njia ya kujiaminisha muda kufa umefika
[emoji3] umenikukumbusha mbali
Kuna siku niligoogle dalili zangu nikaona nna cancer dokta akaja kunieleza vitu vingine na nikapona kumbe katatizo kadoogo
 
Nilianza kupata muwasho sehemu ya korodani mbili zikiwasha sana

Na uume ukawa unawasha kwenye kichwa nikaenda hospital kucheki magonjwa ya zinaa kama HIV Kaswende na kisonono na damu pia nikakutwa nipo salama kabisa

Sasa hivi katika kutafuta suluhu na kupitia pitia mitandaoni nikakutana na habari ya fungus dalili za fangas za sehemu za siri kwa wanaume zote ninazo kwasababu

- ndani ya uume kuna muwasho

Ngozi ya nje ya korodani inawasha
eneo katikati ya makalio na kuzunguka korodani hadi kwenye mapaja panawasha sana hadi kero

Kichwa cha uume kimebadilika na kuwa chekundu na kuwasha hususan wakati wa kuoga wakati najisafisha au kujisugua

Pia sahivi nimeanza kupata muwasho sehemu za mapajani yaani ikifika muda fulani panawasha balaa

Naombeni mnishauri jee dawa za hizi fungus ninini hizi za wanaume?vipi mliougua hili tatizo mlisolve vipi?

Kwa kuanza ungeanza na whitfield kwa wiki mbili kama hamna mabadiliko ndioo uanzw kutumia ant fungals
 
Nenda hospitali kwanza upate jibu sahihi..kuna aina nyingi za fangas.
Halafu nakushauri ukimaliza kuoga uwe unajikausha vizuri sehemu hizo..upeku kutumia taulo lenye maji maji (bichi).
 
Pole sana kitaalam tukiisha kusikiliza ili tuweze kujiridhisha lazima tupate kavumbi vumbi kidogo kwa kukwangua kiasi hilo eneo. Sasa kama unona hilo zoezi in mtihani kwako nje ya utaratibu nenda pharmacy cheki moja wapo kati ya hizi yakupaka
I) GENTRiDERM CREAM (20G zinakutosha)
ii) BENZOX BENZOYL PEROXIDE
 
w
Nilianza kupata muwasho sehemu ya korodani mbili zikiwasha sana

Na uume ukawa unawasha kwenye kichwa nikaenda hospital kucheki magonjwa ya zinaa kama HIV Kaswende na kisonono na damu pia nikakutwa nipo salama kabisa

Sasa hivi katika kutafuta suluhu na kupitia pitia mitandaoni nikakutana na habari ya fungus dalili za fangas za sehemu za siri kwa wanaume zote ninazo kwasababu

- ndani ya uume kuna muwasho

Ngozi ya nje ya korodani inawasha
eneo katikati ya makalio na kuzunguka korodani hadi kwenye mapaja panawasha sana hadi kero

Kichwa cha uume kimebadilika na kuwa chekundu na kuwasha hususan wakati wa kuoga wakati najisafisha au kujisugua

Pia sahivi nimeanza kupata muwasho sehemu za mapajani yaani ikifika muda fulani panawasha balaa

Naombeni mnishauri jee dawa za hizi fungus ninini hizi za wanaume?vipi mliougua hili tatizo mlisolve vipi?
weka picha tuone ili tujue jinsi gani ya kukushauri
 
Nunua dawa ya Iodine tincture. Vaa gloves, paka na pamba sehemu zenye muwasho. Ila kabla ya kulipaka pumbu, hakikisha unalipaka with a thin layer of lotion then iodine inafuata. Ukilipaka Iodine hivi hivi, cha moto utakiona.
Hii sio dawa ya fungus, ni just anticeptic.

Mgonjwa, kwa maelezo yako naona unasumbuliwa na fungus aina ya Tinea ungium. Hapo naomba uanze na tube ya White field. Tumia 1x2 means asubuhi paka baada ya kuoga, then jion oga vzr kisha kausha eneo athirika kisha paka dawa. Fanya hivyo kwa wiki 2. Ukiona haujapona Nunua dawa ya SK Derm, fanya tiba kama awali.

Kama haukupona, waweza kunitafuta privately kwa ushauri zaidi.

NB: Zingatia maelezo ya tiba na usiruke siku. Ukivuruga utaratibu fungus huwa sugu na watakuwa wagumu kuwatibu again. Pia hakikisha usafi wa nguo zako za ndani na nje, pia hakikisha unakuwa mkavu muda wote.

Asante
 
Kwa kuongezea, fungus hautibu leo wakapona kesho. Kuna wengine hutibiwa hata for a year kutegemea level walofikia
 
Write your reply...kaka ilo tatzo mm lina nitesa mpaka leo yan sielewi nn shida nawashwa aswa usiku au nikivua nguo mda wa kuoga cjui ata nifanye nn jaman
 
Wanajamvi naombeni ushauri ngozi ya juu ya sehemu ya siri inachoma choma na kuminya raha kabisa tatizo ni nini ?
 
hii ndio kitu inanisumbua naomba msaada kwanye experience na huu ugonjwa.
 
Attachments

  • Jock Itch Rash-2.jpg
    Jock Itch Rash-2.jpg
    252.2 KB · Views: 67
Back
Top Bottom