Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatzo la huu ugonjwa huwa unajirudiarudia sijui Kwann hata Kama ulipona ukawa fresh kabsa
Pumbu jero hiyo, imetutesa sana enzi za secondary.
Wee jamaa zuzu sana unatuletea mambo ya uzungu hapaMkuu pole sana najua inawezekana umeshindwa hata kulala....lakini nakwambia hakika ukiwa na Yesu hakuna jambo litaharibika wala gojwa litakusumbua.
Asante sanaDaaah pole sana mkuu nauhakika kukikucha wadau watatoa ushauri wao mzuri tu.
Asante sana ijapo nilishatoka hukoNenda hospital wajaribu kufanya culture and sensitivity kwa namna watakayoona inafaa upate tiba sahihi mkuu
Asante sana brooPole sana
Bado jee ni dawa gani spesheli kwa hili?Haujapewa dawa yoyote?
Sawa sawaPole sana mkuu ila nivyema ungeenda hospitali bado mapema kwa utatuzi wa tatizo lako maana humu watu wataishia kukuomba picha na mpaka apatikane wa kukusaidia muda utakua umeenda
Asante sana...inapatikana wap hii na jee ni bei gani??Acha uga wa kwenda kwa doctor kujieleza tumia dawa inaitwa KETINEAL at week umalizi mkuu unapona
ShukranPaka asali iliyochanganywa na limau
ShukranNenda hospitali kiongozi kwa wataalam wa magonjwa ya ngozi, niliwahi kuwa na tatizo hilo sio kiwango chako.
Umechelewa sana kushughulikia tatizo, ila usafi pia muhimu lazima uoge mara mbili kwa siku na uhakikishe sehemu zenye tatizo unakausha vizuri kwa taulo safi, sio taulo miezi haujafua tatizo halitoisha
Me nilinunua kwa tsh 5000 tuAsante sana...inapatikana wap hii na jee ni bei gani??