Elifuraha Longu
Member
- May 8, 2014
- 73
- 10
mhhhhhhhh:shock:Tumia mafuta ya samaki
mhhhhhhhh:shock:
Tumia levokabastinhydrochloride eyedrops na kula certizin 10mg tablets zitakusaidia kupunguza muwasho wa macho.Lakini kama alivyosema mdau hapo juu huo ni uzio ni vyema ukijua chanzo cha uzio na kuepuka!
Sawa thanx lol nilikosea kuandika!Mzio not uzio
sielewi uhusiano ndio maana nimeshangaa najua kuna vidonge vya mafuta ya samaki!Usishangae sana Vidonge vyake vinapatikana hata hospitali
kitu gani kingine cha tofauti umekigundua kwenye macho yako.. je yanavimba, yana badirika rangi, unapata shida ktk kuona..?
dawa ya asili.chemsha majani ya chai yapoe kisha unawe uso.kula kisamvu kwa wingi yaan kula kibakuli kila siku.
Mkuu sipati shida kwenye kuona ila huwa yakiwasha yanavimba na nikiangali mwanga kama tv au simu yanatoa machozi.