Tatizo la madawati mashuleni

Tatizo la madawati mashuleni

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Natamani Waziri Mkuu atangaze kila wilaya/Mkoa umalize hii kero ya upungufu wa madawati; Watoto wanateseka jamani.....

Wiki iliyopita nikiwa Kisaki/Kilosa, nilipita shule inaitwa Kichangani shule ya msingi, yenye wanafunzi takribani 850 huku ikiwa na madawati kama 40hivi tu pengine niseme ya kutoshelea watoto 100 tu; kwa maana hiyo wanafunzi kama 700 wanakaa chini!

Nilishuhudia pia upungufu mkubwa wa waalimu huku najua kabisa wamejirundika kwenye shule za mijini wakigombania vipindi vya kufundisha (ila sio hesabu), sijui wahusika wapo wapi?

Mbona huko Kaskazini walishafanya suala la madawati historia? Kwanini wengine wasijifunze kwao?

Nimeumia sana, Watoto wanateseka, utafikiri wakimbizi?
 
Mparee bana hao huko waliwahi kusoma kabla ya wengine wakiwa wanacheza ngoma ama kuchunga ng'ombe. Huwezi linganisha na pengine. Wewe unakutana na mtu amezaliwa 1960s Ila babu wa huyu jamaa alipata digrii.

Huwezi linganisha wachaga na wengine Tanzania yaani wao wamesha move on wako middle income society Kama sio high income.

Kwa sababu zifuatazo;
1- kukutana na mchaga hajamaliza f4 yaani hayupo walioshia lasaba Ni 1/1000 of people. Unaweza ukafanya tafiti utaona.

2- Hao jamaa kukutana msukuma toroli ama mbeba mizigo hayupo yaani Kama yupo Ni wa kutafuta Kama kutafuta mbegu ya ulezi usiku kwenye mbuga utatumia nguvu mno.

3- kukutana na baamedi ama housegeli from Kilimanjaro sijui labda wewe umewaona.

4- kukutana na bodaboda wa huko mie sijawahi labda wewe.

5- Kukutana na shamba boy wa huko utazeeka unatafuta.
6-Yaani hao utakaokutana nao Ni wale waliobebwa wakashindwa kubebeka mkuu.
7- kukutana machinga ama kinyozi wa huko Ni nadra mno.
8- Kaskazini ndio wamishionari walitua wakawapa elimu kabla ya kuanza kusambaa sehemu zingine.
9-Kumbukw hata mangi mareale aliwahi kwenda un kuomba Uhuru wa north before ya mzanaki.

10- nadhani hao jamaa wamehama hizi biashara za masukari,sabuni,unga wa ngano na mafuta ya kula wapo Ila wachache hizi biashara zimebakia za waha,wasukuma na wakurya Mana wao walizifanya zamani mno wakaona sio big deal kwao wamebakia kwenye electronics,car spear parts,bars,hotel,banks,usafirishaji,ushauri aka consultation nk ambazo zinahitaji akili nadhani.

11- so unapolinganisha Tanzania usiweke Kilimanjaro ama iyo North part najua huwa mnalenga Kilimanjaro.

12- ukienda vyuoni idadi ya wanatunzi from Kilimanjaro huwa Ni kubwa kabila zingine unatafuta ama unakuta mtu yupo mmoja ama wawili Ila wao unakuta namba Ni kubwa mno Mana ukiwa huko kila ukipiga kona Kuna shule yaani nadhani Hawa jamaa baadaye wataanza kusomeshea nguruwe zao humo.

13- Yaani kwa kifupi hao jamaa huwa wanapambana kutambiana maendeleo ama pesa na sio kuwa Nina ng'ombe nyingi,nimeoa wake wengi,Mara Nina michepuko kibao,Mara Yule demu Ana tak00 Kali.
Kuna rafiki wa rafiki yangu anafundisha shule moja huko pasua nilishawahi msikia analalamika kuwa Hawa jamaa hawazungumzii mademu wao Ni miradi tu. Na ukiona manka amekuja kwako hata mangi anakuwa na urafiki na wewe ujue wewe Ni mtafutaji kinouma hujakaa kifalafala.

14-- Wengine ama mengine muongezee ambao sio wa kaskazini lakini Mana wakiongea tutaona kuwa wanaji brand na nyie muwe mnatulia na sie jamii zingine ambazo mababu walikuwa na ng'ombe ama kuoa wake Mia kidogo tutafikia huko so sio kuwa sie Ni mandezi sema mkiwa mnatutakana mnatupa machungu so endeleeni kutuambia ukweli vishoia na vyasaka ili tuamke bana.

Ndoa za umri mdogo kwetu sie,sidhani Kama huko unaweza ukaoa binti below 20yrs.

Ongezeeni nyama jamani nimezunguka hii nchi nikifika boma ng'ombe nikiishi pale ccm Kuna mwanamke nilimuona anashona viatu Tanzania nzima mie sijawahi ona.

Nimeishi kule pasua kwa vyasaka, njia panda,merigoleti,usariva magadrisho,kisongo,unga limited. Kiukweli ukiwa Moshi watu 10 Saba wanafanya biashara ama wanatafuta hela.

Jamaa wanaijua hela na ndio Mana wanainuana wao wenyewe so hawezi kukupa hela wewe kyasaka ama akanunua dukani kwako. Mfano mie baba yangu mdogo alioa kwa Koo nyingine mbali kidogo so niliwasikia wazee wanasema ama mababu kuwa umetunyima hizo ng'ombe kweli ukazipeleka huko mfano mmachame aoe msiha.

Aika mbe and aika Mae.
 
Natamani Waziri Mkuu atangaze kila wilaya/Mkoa umalize hii kero ya upungufu wa madawati; Watoto wanateseka jamani.....

Wiki iliyopita nikiwa Kisaki/Kilosa, nilipita shule inaitwa Kichangani shule ya msingi, yenye wanafunzi takribani 850 huku ikiwa na madawati kama 40hivi tu pengine niseme ya kutoshelea watoto 100 tu; kwa maana hiyo wanafunzi kama 700 wanakaa chini!

Nilishuhudia pia upungufu mkubwa wa waalimu huku najua kabisa wamejirundika kwenye shule za mijini wakigombania vipindi vya kufundisha (ila sio hesabu), sijui wahusika wapo wapi?

Mbona huko Kaskazini walishafanya suala la madawati historia? Kwanini wengine wasijifunze kwao?

Nimeumia sana, Watoto wanateseka, utafikiri wakimbizi?
Amalizaje? Achangishe wazazi wanaokamuliwa kodi na tozo au Serikali kuu ipeleke pesa au warudishe.mfumo wa 40%ya mapato ya halmashauri yabaki na 60 iende mfuko mkuu?
 
Wako busy wanachangia magori ya timu za simba na yanga +milioni 500 kwa timu ya taifa.
Waambie hao wanafunzi wasubiri wamalizane na mambo ya mpira, huenda watafanya harambee kuchangia madawatibau watabuni tozo ya madawati
 
Natamani timu zetu pendwa za Yanga na Simba wacheze mechi ya isani ya kukusanya pesa za kutengeneza madawati. Tukikusanya shs Bilioni 20 ambayo sio hela nyingi sana kwa taifa
Tukatengeneza madawati; Dawati liwe imara na gharama yake isizidi shs 100,000 na litoshee kukaa wanafunzi wawili AU dawati Imara la shs 50,000 la kukaa mtoto mmoja. Wanafunzi kama laki nne watakuwa wamepata dawati ambapo nafikiri tatizo linaweza kuwa limekwisha.
Tatizo tuna wasomi wapo kwenye mataasisis ya pesa kama huko NCAA/TANAPA nk wanalamba tu Asali bila kuwa na huruma na watoto wa masikini......
 
Tanzania hakuna uhaba wa walimu ila kuna uhuni unafanywa tu na watu wachache kwa maslahi yao binafsi kuna shule tupo karibu nayo hapa yaani walimu wakija kuanzia asubuh mpaka jioni wanakaa kwenye miti tu wanapiga story yaani wapo wengi sana na ni mjini yaani kila siku unaona sura mpya yaani mwalimu anaweza akapotea mwezi mzima bila kujua
 
Back
Top Bottom