Tatizo la mafua kwa mtoto

Joined
Sep 4, 2016
Posts
62
Reaction score
42
Habari wadau, sorry naomba kufahamu dawa ya mafua kwa mtoto wa miezi 3 maana hayaponi nilienda zahanati wakanipa Erythromycin.
 
Hili ni tatizo kubwa sana, nami nahitaji msaada huo japo tunawezakuwa tumekosea jukwaa kwa maana kuna jukwaa maalum kwa utabibu/huduma ya afya
 
Kuna vyakula ambavyoi vina negative effects kwenye mucus membrane. Vyakula hivi ni kama nyama nyekundu, siagi, maziwa, cheese, mayai, ice cream, yoghurt na mikate.

Mpe mtoto matunda, mboga za majani, vyakula jamii ya maharage na jamii ya njugu kama karanga na korosho pamoja na maji ya kunywa plain.
 
ana miezi mutatu huyo dada
 
Habari wadau, sorry naomba kufahamu dawa ya mafua kwa mtoto wa miezi 3 maana hayaponi nilienda zahanati wakanipa Erythromycin.
hali ya hewa, vumbi, na usafi wa nguo unazomfunikia na anapolala.
Jitahidi kuyazuzia kuliko kulazimika kutumia dawa.
Mnyonyeshe mara nyingi kadri uwezavyo, lazima yaishe labda kama kuna sababu nyingine ya kufanya asivyonye.
 
Hata miezi mitatu mama aepuke vyakula hivyo kama mtoto ananyonya maziwa ya kifuani.
 
Habari wadau, sorry naomba kufahamu dawa ya mafua kwa mtoto wa miezi 3 maana hayaponi nilienda zahanati wakanipa Erythromycin.
Pole kwa tatzo hilo kwa mwanao. Vyanzo ni vingi sana pia angalia pia parfum ama spray unazotumia huenda zinamletea hali hyo na anaweza kuwa na allergy na vitu vya harufu kali kwa mseaada wa haraka aweze kufunguka njia ya hewa mpatie Ephedrine nasal drops vile vile zingatia kumyonyesha mara kwa mara
 
Mtoto wa miezi mitatu ampe hayo makorokocho?
 
Chemsha maganda ya machungwa kisha mimina maji yake kwenye chupa ya chai kisha mfukize taratibu baada ya hapo mnyonyesha
 
Miezi mitatu vyakula hivi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…