miss mwanjelwa
Member
- Sep 4, 2016
- 62
- 42
Habari wadau, sorry naomba kufahamu dawa ya mafua kwa mtoto wa miezi 3 maana hayaponi nilienda zahanati wakanipa Erythromycin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana miezi mutatu huyo dadaKuna vyakula ambavyoi vina negative effects kwenye mucus membrane. Vyakula hivi ni kama nyama nyekundu, siagi, maziwa, cheese, mayai, ice cream, yoghurt na mikate.
Mpe mtoto matunda, mboga za majani, vyakula jamii ya maharage na jamii ya njugu kama karanga na korosho pamoja na maji ya kunywa plain.
hali ya hewa, vumbi, na usafi wa nguo unazomfunikia na anapolala.Habari wadau, sorry naomba kufahamu dawa ya mafua kwa mtoto wa miezi 3 maana hayaponi nilienda zahanati wakanipa Erythromycin.
Hata miezi mitatu mama aepuke vyakula hivyo kama mtoto ananyonya maziwa ya kifuani.hali ya hewa, vumbi, na usafi wa nguo unazomfunikia na anapolala.
Jitahidi kuyazuzia kuliko kulazimika kutumia dawa.
Mnyonyeshe mara nyingi kadri uwezavyo, lazima yaishe labda kama kuna sababu nyingine ya kufanya asivyonye.
Pole kwa tatzo hilo kwa mwanao. Vyanzo ni vingi sana pia angalia pia parfum ama spray unazotumia huenda zinamletea hali hyo na anaweza kuwa na allergy na vitu vya harufu kali kwa mseaada wa haraka aweze kufunguka njia ya hewa mpatie Ephedrine nasal drops vile vile zingatia kumyonyesha mara kwa maraHabari wadau, sorry naomba kufahamu dawa ya mafua kwa mtoto wa miezi 3 maana hayaponi nilienda zahanati wakanipa Erythromycin.
Fua neti,toa mavumbi chumbani Na mapafyumuHabari wadau, sorry naomba kufahamu dawa ya mafua kwa mtoto wa miezi 3 maana hayaponi nilienda zahanati wakanipa Erythromycin.
Fueni neti ,Na ondoeni vumbi ndani.pia msitumie marashi makaliHili ni tatizo kubwa sana, nami nahitaji msaada huo japo tunawezakuwa tumekosea jukwaa kwa maana kuna jukwaa maalum kwa utabibu/huduma ya afya
Neti inatumika mwakahali ya hewa, vumbi, na usafi wa nguo unazomfunikia na anapolala.
Jitahidi kuyazuzia kuliko kulazimika kutumia dawa.
Mnyonyeshe mara nyingi kadri uwezavyo, lazima yaishe labda kama kuna sababu nyingine ya kufanya asivyonye.
Mtoto wa miezi mitatu ampe hayo makorokocho?Kuna vyakula ambavyoi vina negative effects kwenye mucus membrane. Vyakula hivi ni kama nyama nyekundu, siagi, maziwa, cheese, mayai, ice cream, yoghurt na mikate.
Mpe mtoto matunda, mboga za majani, vyakula jamii ya maharage na jamii ya njugu kama karanga na korosho pamoja na maji ya kunywa plain.
Watoto wa mwendokasiMtoto wa miezi mitatu ampe hayo makorokocho?
Asante kwa ushauri.Fueni neti ,Na ondoeni vumbi ndani.pia msitumie marashi makali
Mama ale nafaka ya mtotoMtoto wa miezi mitatu ampe hayo makorokocho?
Kuna vyakula ambavyoi vina negative effects kwenye mucus membrane. Vyakula hivi ni kama nyama nyekundu, siagi, maziwa, cheese, mayai, ice cream, yoghurt na mikate.
Mpe mtoto matunda, mboga za majani, vyakula jamii ya maharage na jamii ya njugu kama karanga na korosho pamoja na maji ya kunywa plain.
Mama anaenyonyeshaMiezi mitatu vyakula hivi????
anhaa asante kwa huo ushaur nina mdogo angu amejifungua twins wako na three months now wana hili tatizo muda sana hayaishi nilikua najarib kupitia nipate cha kumsaidiaMama anaenyonyesha
hako huwa ni katatizo ka wengi, nahivi haioneshi uchafu basi ni kutumia tuNeti inatumika mwaka