Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Kapime ngwengwe kaka/ dada....Habari za muda.
Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake.
Ahsante.
Hayo mafua yanakuwaje? Pua zinabana kabisa?Habari za muda.
Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake.
Ahsante.
Hapna sio ya kubana ila mara kwa mara yanakujaHayo mafua yanakuwaje? Pua zinabana kabisa?
Kula Asubuhi punje 2 za kitunguu Saumu tafuna umeze kwa maji ya uvuguvugu na wakati wa mchana kula tena na usiku kula tena punje 2 kitunguu saumu fanya hivyo siku 3 umepona hayo mafua yako.Habari za muda.
Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake.
Ahsante.