Tatizo la mafua ya yasio isha

Tatizo la mafua ya yasio isha

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,300
Habari za muda.
Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake.
Ahsante.
 
Habari za muda.
Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake.
Ahsante.
Kula Asubuhi punje 2 za kitunguu Saumu tafuna umeze kwa maji ya uvuguvugu na wakati wa mchana kula tena na usiku kula tena punje 2 kitunguu saumu fanya hivyo siku 3 umepona hayo mafua yako.

GARLIC FOR COLD KITUNGUU SAUMU KWA MAFUA.jpg
 
Back
Top Bottom