Tatizo la magaga au makenya

Tatizo la magaga au makenya

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Mkuu ukome..Wewe unadhani nipo TU kuonesha madhaifu yangu..

Mbona hutaki kuona Gaga?
😂😂 Gaga tena si umesema yameisha! Okay basi tuone hayo yasiyo madhaifu mama..😉
 
[emoji3][emoji3][emoji3]....nipo katika process ya kuwa pisi kali..nimesikia wawezeshaji hawataki Gaga..Wala kitambi....bado kujichubua TU ntakuja na bandiko la kuomba USHAURI wa kemikali
Ukianza kujichubua usinikoti asee kaa mita 200🤣🤣
Bora magaga na kitambi..tena kitambi kinakupendeza.
 
Ukianza kujichubua usinikoti asee kaa mita 200[emoji1787][emoji1787]
Bora magaga na kitambi..tena kitambi kinakupendeza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...kujichubua nlishashindwa Mkuu.... Natumia TU cream zakufanya ngozi laini na nyororo.
 
[emoji23][emoji23] Gaga tena si umesema yameisha! Okay basi tuone hayo yasiyo madhaifu mama..[emoji6]
Gaga limeisha kweli....Doooh lilinitesa Sana.....Unataka uone strengths zangu..hahahaha Hiyo namuwachia sponsor wangu.
 
Gaga limeisha kweli....Doooh lilinitesa Sana.....Unataka uone strengths zangu..hahahaha Hiyo namuwachia sponsor wangu.
Yap nataka kuona hata sio haramu kuona!.. usiwe mchoyo hata kwa upicha mama, jitahidi hata kwa uchembe mfinyu nione kilichochema.. wataka nisile hata kwa macho mrembo weye..😅
 
Vipi zile thingy kwenye lips zimeisha??
Mkuu..hazijaisha Wala Nini..zipo kabisaaaaaa...Tena hazina hata dalili ya kuondoka despite kutumia madawa kemi kemi

Hizo nshazikubali....ni Majaaliwa yangu TU kutoka kwa Mungu
 
Mkuu..hazijaisha Wala Nini..zipo kabisaaaaaa...Tena hazina hata dalili ya kuondoka despite kutumia madawa kemi kemi

Hizo nshazikubali....ni Majaaliwa yangu TU kutoka kwa Mungu
Mdogo wangu alikua na hizo makitu walisema ni alegy vipi ww ushaangalia upande huo maana obvious za mdomoni hua sio Vi..
 
Mdogo wangu alikua na hizo makitu walisema ni alegy vipi ww ushaangalia upande huo maana obvious za mdomoni hua sio Vi..
Ni nimeambiwa na doctor Ni Vi.. so nikatumia Dawa Sana.. pia zipo sehem Nyingine Sio kwalips pekeyake...

Ila bado natumia Dawa sijakata tamaa
 
Ni nimeambiwa na doctor Ni Vi.. so nikatumia Dawa Sana.. pia zipo sehem Nyingine Sio kwalips pekeyake...

Ila bado natumia Dawa sijakata tamaa
Basi pole sana kama zipo hadi sehem nyingine. Nilikua najua V haina dawa hapo kabla fanya mitishimba za hospital utasumbuka tu
 
Yap nataka kuona hata sio haramu kuona!.. usiwe mchoyo hata kwa upicha mama, jitahidi hata kwa uchembe mfinyu nione kilichochema.. wataka nisile hata kwa macho mrembo weye..[emoji28]
Mkuuu . Usipende kuangalia Sana vya Watu...Sio vizuri
 
Nenda hospitali pia.Matatizo mengi tunayopambana nayo ya afya yana tiba rahisi sana hospitali
 
Back
Top Bottom