Emily VanCamp
Senior Member
- Aug 24, 2020
- 189
- 960
Pisi kali kazi unayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Gaga tena si umesema yameisha! Okay basi tuone hayo yasiyo madhaifu mama..😉[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Mkuu ukome..Wewe unadhani nipo TU kuonesha madhaifu yangu..
Mbona hutaki kuona Gaga?
Ukianza kujichubua usinikoti asee kaa mita 200🤣🤣[emoji3][emoji3][emoji3]....nipo katika process ya kuwa pisi kali..nimesikia wawezeshaji hawataki Gaga..Wala kitambi....bado kujichubua TU ntakuja na bandiko la kuomba USHAURI wa kemikali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...kujichubua nlishashindwa Mkuu.... Natumia TU cream zakufanya ngozi laini na nyororo.Ukianza kujichubua usinikoti asee kaa mita 200[emoji1787][emoji1787]
Bora magaga na kitambi..tena kitambi kinakupendeza.
Yap nataka kuona hata sio haramu kuona!.. usiwe mchoyo hata kwa upicha mama, jitahidi hata kwa uchembe mfinyu nione kilichochema.. wataka nisile hata kwa macho mrembo weye..😅Gaga limeisha kweli....Doooh lilinitesa Sana.....Unataka uone strengths zangu..hahahaha Hiyo namuwachia sponsor wangu.
Vipi zile thingy kwenye lips zimeisha??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...kujichubua nlishashindwa Mkuu.... Natumia TU cream zakufanya ngozi laini na nyororo.
Mdogo wangu alikua na hizo makitu walisema ni alegy vipi ww ushaangalia upande huo maana obvious za mdomoni hua sio Vi..Mkuu..hazijaisha Wala Nini..zipo kabisaaaaaa...Tena hazina hata dalili ya kuondoka despite kutumia madawa kemi kemi
Hizo nshazikubali....ni Majaaliwa yangu TU kutoka kwa Mungu
Ni nimeambiwa na doctor Ni Vi.. so nikatumia Dawa Sana.. pia zipo sehem Nyingine Sio kwalips pekeyake...Mdogo wangu alikua na hizo makitu walisema ni alegy vipi ww ushaangalia upande huo maana obvious za mdomoni hua sio Vi..
Basi pole sana kama zipo hadi sehem nyingine. Nilikua najua V haina dawa hapo kabla fanya mitishimba za hospital utasumbuka tuNi nimeambiwa na doctor Ni Vi.. so nikatumia Dawa Sana.. pia zipo sehem Nyingine Sio kwalips pekeyake...
Ila bado natumia Dawa sijakata tamaa
Mkuuu . Usipende kuangalia Sana vya Watu...Sio vizuriYap nataka kuona hata sio haramu kuona!.. usiwe mchoyo hata kwa upicha mama, jitahidi hata kwa uchembe mfinyu nione kilichochema.. wataka nisile hata kwa macho mrembo weye..[emoji28]
Fanya hata kunituliza kihoro tu kuona si dhambi,dhambi kutenda mama..😅Mkuuu . Usipende kuangalia Sana vya Watu...Sio vizuri
Plz mamii hata kiduchu tu...😅Kutenda zambi.kunaanza na kuona..