The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kutwa kushinda kulalama kwenye mitandao huu mda na nguvu ungeitumia kuchimba hata kisimaMkuu nyie hamuoni kasoro wala hamuumizwi na haya ndio maana mnasifu na kusujudu tu.
Inyeshe isinyeshe, umeme uwepo usiwepo.
Ninyi mkipiga goti kusujudu tu asali inawaminikia.
Tunalalamika sio kwa chuki bali kukosa umeme na maji mnatupiga kwenye mshono wakuu
Mkuu Glenn kwani huoni juhudi za Serikali? Issue ya maji ilikuwa kwa sababu ya ukame, Serikali imetatua kwa kuongeza visima ili kutatua shida ya majiMkuu nyie hamuoni kasoro wala hamuumizwi na haya ndio maana mnasifu na kusujudu tu.
Inyeshe isinyeshe, umeme uwepo usiwepo.
Ninyi mkipiga goti kusujudu tu asali inawaminikia.
Tunalalamika sio kwa chuki bali kukosa umeme na maji mnatupiga kwenye mshono wakuu
Wewe utu uzima wako uko wapi? Kubwa jinga kutwa kucha kulalamika Kama mtotoUnaonekana ni kama mtu mzima kumbe ni kasha tu la mautumbo na makorokoro mengine linalomiliki smartphone yenye uwezo wa kuingia JF
Sawa MKANDAHARIUnaonekana ni kama mtu mzima kumbe ni kasha tu la mautumbo na makorokoro mengine linalomiliki smartphone yenye uwezo wa kuingia JF
Nani atagombea wa kumshinda labdaMpumzisheni Mama, mnamwibia sana.2025 si mbali.
Una uhakika? Au una hemka kwa chukiNiliona Siasa tupu zinaendekezwa Mkuu wangu.
Ila huyo mnayemsifia sifia hamna lolote la maana amelifanyia Taifa mpaka sasa mkuu.
wabunge wa CCM ni wahuni.Acha kusikiliza maneno ya mtaani, ni wahuni tu wanazusha, mradi unaendelea vizuri, watu wako kazini mpaka dakika hii..
Mkuu The Sunk Cost Fallacy 2 Wa kumpuuza tu huyu jamaaaWewe utu uzima wako uko wapi? Kubwa jinga kutwa kucha kulalamika Kama mtoto
Kwa hiyo visima havitoi maji au? Uzuri wapiga kuwa hawashindi humu mitandaoni ndio wanashuhudia matunda huko site,nyie wa himu endeleeni na upuuzi wenuIshu ya Maji muiache. Ni mvua ndio zimetuonea huruma. Mindu dam na visima Kigamboni mnamuibia maza tu.
@Pancras Suday hukuona visima vilivyozinduliwa kigamboni? Ni kweli kunyesha kwa mvua kumepunguza tatizo, lakini Serikali pia umechukua jitihada za makusudi kutatua upungufu wa majiTatizo la maji limetatuliwa au ni kwa sababu mvua zimeanza kunyesha, umeme nao tunatarajia hali kuwa shwari kwa sababu mabwawa mda si mrefu yatatengamaa kwa sababu za mvua basi, hakuna kitu serikali ya ccm inaweza kukifanya kwa 100%
Matusi kawaida yako mzee Bejamini Netanyahu, huna hoja, unawakilisha vyema kabisa kambi ile ya matusi,Labda aunge mumeo sisi hatuhangaiki na huo ujinga wako
Tunaomba majibu ya hii scandal hapa👇Ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara za mwendo kasi, madaraja, vivuko, SGR, JNHPP, Ujenzi wa madarasa, ujenzi wa mabweni, ujenzi wa nyumba za Watumishi, Ujenzi wa majengo ya kiutawala, miradi ya kilimo etc.
Mvua zimeanza kunyesha usitake kuwaona Watanzania mabwege kama nyie chawa wa ccmSerikali ya awamu ya sita haijawahi kupumzika katika kutatua kero za Watanzania, tatizo la maji lililokuwa limetokea hivi karibuni hasa kwa Wakazi wa Dar Es Salaamu limetatuliwa kwa asilimia 100, tatizo la mgao wa umeme liko mwishoni kuwa historia, kila kitu kinahitaji muda na fedha.
Watanzania tuendelee kuunga mkono Serikali ya awamu ya Sita, miradi yote ya maendeleo iiliyopangwa kutekelezwa kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imeanza kutekelezwa, fedha zimeshapelekwa, miradi iliyokuwa imeanza kutekelezwa miaka ya nyuma hakuna mradi hata mmoja uliosimama.
Ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara za mwendo kasi, madaraja, vivuko, SGR, JNHPP, Ujenzi wa madarasa, ujenzi wa mabweni, ujenzi wa nyumba za Watumishi, Ujenzi wa majengo ya kiutawala, miradi ya kilimo etc.
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, iko kwa ajili ya Watanzania na ni ukweli usio pingika awamu hii hali ya Demokrasia ni ya juu kabisa, ndio maana kila mtu yuko huru kutoa maoni na akasikilizwa. Tatizo la vijana wengi wanaamini kutukana na kukosoa tu ndio kutoa maoni.
Tuipende Tanzania yetu, tuunge mkono juhudi za Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Ni kweli ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuleta mvua, lakini Serikali ilianza kuchukua hatua za makusudi katika kutatua tatizo la maji, ndio maana ilipeleka fedha nyingi kukamilisha visima kule kigamboni.Nani kalitatua?
Sema tumshukuru Mungu kwa kutufanyia wepesi na kuamua kutetea watu wake kwa kuleta Mvua.
Viongozi wetu tuliowaamini wameshindwa kutumia maarifa na rasimali tulizobarikiwa kila mahala kutatua kero na kufanya wepesi kwa wananchi.
Suala la umeme toka uhuru tunapiga sarakasi mpaka leo.
2025 hakuna upinzani, Kwa namna Serikali yake inavyosimamia utekelezaji wa miradi, njia imenyokaMpumzisheni Mama, mnamwibia sana.2025 si mbali.