Tatizo la maji limetatuliwa, la umeme litakwisha karibuni na miradi mingine yote inakamilishwa. Watanzania tuunge mkono juhudi za serikali yetu

Tatizo la maji limetatuliwa, la umeme litakwisha karibuni na miradi mingine yote inakamilishwa. Watanzania tuunge mkono juhudi za serikali yetu

Mkuu nyie hamuoni kasoro wala hamuumizwi na haya ndio maana mnasifu na kusujudu tu.
Inyeshe isinyeshe, umeme uwepo usiwepo.

Ninyi mkipiga goti kusujudu tu asali inawaminikia.

Tunalalamika sio kwa chuki bali kukosa umeme na maji mnatupiga kwenye mshono wakuu
Kutwa kushinda kulalama kwenye mitandao huu mda na nguvu ungeitumia kuchimba hata kisima
 
Mkuu nyie hamuoni kasoro wala hamuumizwi na haya ndio maana mnasifu na kusujudu tu.
Inyeshe isinyeshe, umeme uwepo usiwepo.

Ninyi mkipiga goti kusujudu tu asali inawaminikia.

Tunalalamika sio kwa chuki bali kukosa umeme na maji mnatupiga kwenye mshono wakuu
Mkuu Glenn kwani huoni juhudi za Serikali? Issue ya maji ilikuwa kwa sababu ya ukame, Serikali imetatua kwa kuongeza visima ili kutatua shida ya maji
 
Tatizo la maji limetatuliwa au ni kwa sababu mvua zimeanza kunyesha, umeme nao tunatarajia hali kuwa shwari kwa sababu mabwawa mda si mrefu yatatengamaa kwa sababu za mvua basi, hakuna kitu serikali ya ccm inaweza kukifanya kwa 100%
@Pancras Suday hukuona visima vilivyozinduliwa kigamboni? Ni kweli kunyesha kwa mvua kumepunguza tatizo, lakini Serikali pia umechukua jitihada za makusudi kutatua upungufu wa maji
 
Hongereni serekali kwa kutatua tatizo la maji dar, maana wake zetu wametombwa sana wiki mbili hizi kwa kisingizio cha kwenda kutafuta maji
Hakuna uhusiano katika hili, mtu kama ni tabia yake itabaki kuwa hivyo Mnyenz
 
2025 Kuna watu watakosa ajenda, halafu na katiba tunaichomekea kidoogo uchaguzi ukikaribia, lengo kufuta kabisa hija zao
Kwa namna Serikali ya awamu ya sita inavyosimamia utekelezaji wa miradi ya Maendeleo hakuna ubishi katika hilo chiembe
 
Tatizo la maji limeamuliwa na Allah baada ya kusikia kilio cha walio wengi wakati chawa wako bize kulamba asali bila ya kuwa na time na kero za wananchi.
 
Ngoja watu waone utekelezaji Kwa vitendo (uhalisia) na sio matamko tu.

Isijekuwa zilongwa mbali zitendwa mbali.
 
Ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara za mwendo kasi, madaraja, vivuko, SGR, JNHPP, Ujenzi wa madarasa, ujenzi wa mabweni, ujenzi wa nyumba za Watumishi, Ujenzi wa majengo ya kiutawala, miradi ya kilimo etc.
Tunaomba majibu ya hii scandal hapa👇

 
Serikali ya awamu ya sita haijawahi kupumzika katika kutatua kero za Watanzania, tatizo la maji lililokuwa limetokea hivi karibuni hasa kwa Wakazi wa Dar Es Salaamu limetatuliwa kwa asilimia 100, tatizo la mgao wa umeme liko mwishoni kuwa historia, kila kitu kinahitaji muda na fedha.

Watanzania tuendelee kuunga mkono Serikali ya awamu ya Sita, miradi yote ya maendeleo iiliyopangwa kutekelezwa kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imeanza kutekelezwa, fedha zimeshapelekwa, miradi iliyokuwa imeanza kutekelezwa miaka ya nyuma hakuna mradi hata mmoja uliosimama.

Ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara za mwendo kasi, madaraja, vivuko, SGR, JNHPP, Ujenzi wa madarasa, ujenzi wa mabweni, ujenzi wa nyumba za Watumishi, Ujenzi wa majengo ya kiutawala, miradi ya kilimo etc.

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, iko kwa ajili ya Watanzania na ni ukweli usio pingika awamu hii hali ya Demokrasia ni ya juu kabisa, ndio maana kila mtu yuko huru kutoa maoni na akasikilizwa. Tatizo la vijana wengi wanaamini kutukana na kukosoa tu ndio kutoa maoni.

Tuipende Tanzania yetu, tuunge mkono juhudi za Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Mvua zimeanza kunyesha usitake kuwaona Watanzania mabwege kama nyie chawa wa ccm
 
Nani kalitatua?

Sema tumshukuru Mungu kwa kutufanyia wepesi na kuamua kutetea watu wake kwa kuleta Mvua.

Viongozi wetu tuliowaamini wameshindwa kutumia maarifa na rasimali tulizobarikiwa kila mahala kutatua kero na kufanya wepesi kwa wananchi.

Suala la umeme toka uhuru tunapiga sarakasi mpaka leo.
Ni kweli ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuleta mvua, lakini Serikali ilianza kuchukua hatua za makusudi katika kutatua tatizo la maji, ndio maana ilipeleka fedha nyingi kukamilisha visima kule kigamboni.
Tatizo la umeme sio la jana, Serikali hii haiwezi kutatua kwa siku moja, kutatua changamoto ya umeme inahitaji uwekezaji ikiwa ni pamoja kufanya mataengenezo ya mitambo yetu na kuleta vyanzo vipya vya umeme, ndio maana Serikali imeendelea kupeleka fedha nyingi ili kukamilisha mradi wa JNHPP, pia miradi mingine inakuja itakyokuwa mbdala wa vyanzo vilivyopo sasa, tumuamini Waziri wa Nishati Mh. Makamba, lakini pia tuiamni na kuipa muda Serikali ya awamu ya sita kutatua kero ya umeme na kubaki historia
 
Niliona Siasa tupu zinaendekezwa Mkuu wangu.

Ila huyo mnayemsifia sifia hamna lolote la maana amelifanyia Taifa mpaka sasa mkuu.
Mkuu TANMO hivi ni kweli huoni miradi yote inayotekelezwa? Hakuna hata mradi mmoja uliosimama na miradi mipya inaendelea
 
Back
Top Bottom