Ni kweli ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuleta mvua, lakini Serikali ilianza kuchukua hatua za makusudi katika kutatua tatizo la maji, ndio maana ilipeleka fedha nyingi kukamilisha visima kule kigamboni.
Tatizo la umeme sio la jana, Serikali hii haiwezi kutatua kwa siku moja, kutatua changamoto ya umeme inahitaji uwekezaji ikiwa ni pamoja kufanya mataengenezo ya mitambo yetu na kuleta vyanzo vipya vya umeme, ndio maana Serikali imeendelea kupeleka fedha nyingi ili kukamilisha mradi wa JNHPP, pia miradi mingine inakuja itakyokuwa mbdala wa vyanzo vilivyopo sasa, tumuamini Waziri wa Nishati Mh. Makamba, lakini pia tuiamni na kuipa muda Serikali ya awamu ya sita kutatua kero ya umeme na kubaki historia
Ni rahisi kuamini ngamia kuingia kwenye tundu la Sindano kuliko kumuamini marope...