Huwa wanahakiki kama hamjavunja vile vioo.Yaani hayana hata aibu,na mita yqnakuja kusoma kila mwezi,huku yakijua wazi kabisa kuwa maji hakuna.
Siyo maji tu umeme, barabara ndiyo usiseme n.kTatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini?
Kumekuwa na mvua za kutosha Arusha na mikoa yote kwa ujumla kwa hiyo suala la upungufu wa maji isiwe kisingizio.
Kwa kweli hii hali haikubaliki hata kidogo. Ingekuwa ni siku moja ingeeleweka japo nayo sio sahihi.
Tunahitaji majibu sahihi kutoka kwa wahusika ikiambatana na usitishaji wa hii karaha.
Tangu CCM wajitangaze kushinda isivyo halali, na tanguy Baraza la Maadiwani liwe chama kimoja , tuendelee kuona ugumu kama tupo Hargeisa , somalia.raza la madTatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini?