Tatizo la Maji Mtama laibua mapya, Nape ashutumiwa kwa kutokaa jimboni mwake. Adaiwa kuonekana na Irene Uwoya hotelini

Tatizo la Maji Mtama laibua mapya, Nape ashutumiwa kwa kutokaa jimboni mwake. Adaiwa kuonekana na Irene Uwoya hotelini

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Baada ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kusema yeye ni Mkazi wa Kijiji kinachoonekana kuwa na maji machafu na Wakazi wa kijiji hicho kutumia maji hayo kwa shughuli zao, na Mbunge huyo kusema tatizo hilo lapo hivyo. Mdau kaja na hoja za kumuhoji kuwa anakaa wapi?

Mdau anadai siku zote tangu Kampeni Nape alikuwa anafikia hoteli ya Oceanic tena akiwa na mrembo Irene Uwoya. Mdau kwa kujiaminia akamtaka Nape abishe ili alete picha kama ushahidi.

D7901E67-A98F-4A15-8C06-9A90B8C124E7.jpeg


Lakini Nape bila kutoa neno lolote amemtandika block mdau huyo jambo lililomuibua tena mdau.

Mdau akaja kisisitiza kuwa Nape hajaishi Mtama na kama ana hata Kiwanja aseme. Lakini pia amesisitiza kuwa anaweka hadharini picha za Nape akiwa na Uwoya huko Oceanic Hotel

14335B68-B216-4DB7-954C-196051DE6975.jpeg
 
Daaahh, kwa nini Twitter mumeni BAN....! Huu uhondo nimeukosa hivi hivi
 
Huyo Nape ukimkamata tu anaishia kukupa block
Anauweo mdogo sana wa kufikiri
 
Haya wazee wa V. A. R tupo hapa tayari kabisa kwa kusubiri hizo picha ili tu thaminishe kama kweli yaliyomo yamo?

tapatalk_1571949329710.jpeg
tapatalk_1571949334015.jpeg
tapatalk_1571949448166.jpeg
 
Uwoya tena, duh!

Viongozi wetu mabomu sana.Mwalimu Nyerere alichukia sana tabia hizi za mtaani.

Unapokuwa kiongozi ni lazima uwe mtu wa kuheshimika. Ni kiongozi halafu unafukuzia malaya mtaani?! Haikubaliki.

Ni vema ukachagua moja, kufukuzia vimalaya mtaani au uongozi.
 
Uwoya tena,duh!Viongozi wetu mabomu sana.Mwalimu Nyerere alichukia sana tabia hizi za mtaani.Unapokuwa kiongozi ni lazima uwe mtu wa kuheshimika.Ni kiongozi halafu unafukuzia malaya mtaani?!Haikubaliki.Ni vema ukachagua moja, umalaya au uongozi.
Kuwa na Uwoya hotelini ndio umalaya?
 
Kuwa na Iren uwoya nayo ni ishu kubwa?. Huyu kama me yeye hana anaowapitia?. Kisa MBUNGE ndio haitakiwi awe na vitu kama hivyo?.
 
Inawezekana Irene ni mwekezaji na mdau mkubwa anayetaka kuja huko kuwekeza miradi mikubwa ya maji, kuweni wavumilivu mkisubiri mbunge wenu akamilishe mazungumzo na mwekezaji huyo, mambo mazuri huja polepole.
 
Back
Top Bottom