Baada ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kusema yeye ni Mkazi wa Kijiji kinachoonekana kuwa na maji machafu na Wakazi wa kijiji hicho kutumia maji hayo kwa shughuli zao, na Mbunge huyo kusema tatizo hilo lapo hivyo. Mdau kaja na hoja za kumuhoji kuwa anakaa wapi?
Mdau anadai siku zote tangu Kampeni Nape alikuwa anafikia hoteli ya Oceanic tena akiwa na mrembo Irene Uwoya. Mdau kwa kujiaminia akamtaka Nape abishe ili alete picha kama ushahidi.
View attachment 1245990
Lakini Nape bila kutoa neno lolote amemtandika block mdau huyo jambo lililomuibua tena mdau.
Mdau akaja kisisitiza kuwa Nape hajaishi Mtama na kama ana hata Kiwanja aseme. Lakini pia amesisitiza kuwa anaweka hadharini picha za Nape akiwa na Uwoya huko Oceanic Hotel
View attachment 1245989