Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
hujui unachosemaUwoya tena,duh!Viongozi wetu mabomu sana.Mwalimu Nyerere alichukia sana tabia hizi za mtaani.Unapokuwa kiongozi ni lazima uwe mtu wa kuheshimika.Ni kiongozi halafu unafukuzia malaya mtaani?!Haikubaliki.Ni vema ukachagua moja, umalaya au uongozi.
We bwana we! Hayo maadili ni historia tuu, kama mzee baba anaenda hadi Kisarawe kwa "mwanae" ili ajiliwaze itakuwa huyu muhuni Nape?Uwoya tena,duh!Viongozi wetu mabomu sana.Mwalimu Nyerere alichukia sana tabia hizi za mtaani.Unapokuwa kiongozi ni lazima uwe mtu wa kuheshimika.Ni kiongozi halafu unafukuzia malaya mtaani?!Haikubaliki.Ni vema ukachagua moja, umalaya au uongozi.
Pengine aina ya mkao waliokaa ndio unahalalisha au unaharamishaHivi mwamasiasa / raia wa kawaida hawezi kukaa na mtu kama Irene Uwoya hotelini? hawawezi kuwa na cha kuongea tofauti na mapenzi?
Kwa kuwa hotelini na Irene ni tatizo
Umeambiwa hana hata kiwanja Mtama sembuse nyumba.Kwa nini hotelini na si nyumbani kwake?
Sishangai lakini kweli mkuu,maana hata yeye mwenyewe ametokana na tabia hizo hizo.Basi bwana nimekuelewa.Like father like son.We bwana we! Hayo maadili ni historia tuu, kama mzee baba anaenda hadi Kisarawe kwa "mwanae" ili ajiliwaze itakuwa huyu muhuni Nape?
Nipe definition ya umalaya.Kuwa na Uwoya hotelini ndio umalaya?
Hebu niambie basi unachokijua wewe.hujui unachosema
LegasiEbwanaeeeeh
Wanasiasa kuwa karibu na warembo ni kitu cha kawaida sana.Baada ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kusema yeye ni Mkazi wa Kijiji kinachoonekana kuwa na maji machafu na Wakazi wa kijiji hicho kutumia maji hayo kwa shughuli zao, na Mbunge huyo kusema tatizo hilo lapo hivyo. Mdau kaja na hoja za kumuhoji kuwa anakaa wapi?
Mdau anadai siku zote tangu Kampeni Nape alikuwa anafikia hoteli ya Oceanic tena akiwa na mrembo Irene Uwoya. Mdau kwa kujiaminia akamtaka Nape abishe ili alete picha kama ushahidi.
View attachment 1245990
Lakini Nape bila kutoa neno lolote amemtandika block mdau huyo jambo lililomuibua tena mdau.
Mdau akaja kisisitiza kuwa Nape hajaishi Mtama na kama ana hata Kiwanja aseme. Lakini pia amesisitiza kuwa anaweka hadharini picha za Nape akiwa na Uwoya huko Oceanic Hotel
View attachment 1245989
Ya mbunge Nape?Legasi
Nape kawashika pabaya,tunataka ukaguzi wa mikopo iliokopwa na marehemu tuone huo uadilifu wenuBaada ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kusema yeye ni Mkazi wa Kijiji kinachoonekana kuwa na maji machafu na Wakazi wa kijiji hicho kutumia maji hayo kwa shughuli zao, na Mbunge huyo kusema tatizo hilo lapo hivyo. Mdau kaja na hoja za kumuhoji kuwa anakaa wapi?
Mdau anadai siku zote tangu Kampeni Nape alikuwa anafikia hoteli ya Oceanic tena akiwa na mrembo Irene Uwoya. Mdau kwa kujiaminia akamtaka Nape abishe ili alete picha kama ushahidi.
View attachment 1245990
Lakini Nape bila kutoa neno lolote amemtandika block mdau huyo jambo lililomuibua tena mdau.
Mdau akaja kisisitiza kuwa Nape hajaishi Mtama na kama ana hata Kiwanja aseme. Lakini pia amesisitiza kuwa anaweka hadharini picha za Nape akiwa na Uwoya huko Oceanic Hotel
View attachment 1245989