Dibwi Method
Member
- Nov 22, 2021
- 31
- 28
Sababu kuu zinazopelekea shida ya maji inayoendelea Jijini Dar es Salaam na mikoa mingine hapa nchini, ni zao la Watangulizi wa Mama.
Hii shida imekuwepo kwa muda mrefu sana, haijaanza mwaka jana mwezi April 2021, tusimnyooshee kidole SSH kwa sababu tu yeye ndiye aliye madarakani kwa sasa.. turudi nyuma kwa Waliomtangulia na tutajua ni wapi tulikwamishwa na ni nini tufanye ili kuondokana na tatizo hili!
Mifumo ya waliopita ndo mibovu, wangetengeneza miundombinu ya kuhifadhia maji tusingekuwa hapa tulipo. Ni kama tunangojea mambo yatokee ndo tuchukue hatuaTatizo ni mvua usikuze mambo!
Tukueleweje na huu uzi?
Inaonesha unapenda UchawaMifumo ya waliopita ndo mibovu, wangetengeneza miundombinu ya kuhifadhia maji tusingekuwa hapa tulipo. Ni kama tunangojea mambo yatokee ndo tuchukue hatua
Shida imetoka mbali, matokeo tu ndo yameanza hivi karibuni!
Tatizo ni ccm maana ata watangulizi walikua ccm
Aliweka mikakati gani na alifanikisha mingapi kati ya hiyo kwenye utatuzi wa changamoto ya maji?Alisema ”MTANIKUMBUKA”. Kuanzia umeme hakuna. Wilayani unakatwa masaa 20 kwa siku.
Miundombinu kama barabara alizokuwa anajenga Magufuli zote zimesimama. Nchi imetulia,hakuna kinachoendelea.
Magufuli kaibadirisha Dar kwa muda mfupi. Lakini sasa hakuna kinachoendelea
Tozo kila kona kwa sasa lakini hakuna inachofanya. Wanajipigia tu wajanja.
Nchi imesimama,lakini pesa inakusanywa kila dakika kwa sasa.
Magufuli aliwajali wananchi kutoka kulipia umeme kwa 27000 mpaka laki 3. Kwa sasa wananchi ni kama shamba la kuvunia
Upuuzi wa mvua kutokunyesha?Wakati wa magu hatukuona upuuzi kama huu