Tatizo la Majina ya Kiislam Katika Viya ya Maji Maji 1905 - 1907

Mimi Babu yangu Ana Jina la kiarabu lakini si muislaam na pia baba yangu mdogo hivyo hivyo,,, mimi nadhani si kweli kuwa majina ni utambulisho wa muislaam
Kanda ya ziwa hasa usukumani kuna akina Juma na Hamis wengi tu lakini si waislam.
 
Mimi Babu yangu Ana Jina la kiarabu lakini si muislaam na pia baba yangu mdogo hivyo hivyo,,, mimi nadhani si kweli kuwa majina ni utambulisho wa muislaam
Sajo...
Hakuna tatizo ila kukusaidia ujenge maarifa ni kuwa hoja unaijenga katika lile la kawaida yaani "general rule " na si katika yale yasiyo ya kawaida yaani, "exceptions."

Angalia Wakristo wangapi unawajua wanaoitwa Mohamed au Waislam wangapi unawajua wanaitwa Richard.
 
Walioanza kufika ni walutheri kule tabora,Hawa Wana rekodi Hadi za harakati za milambo,lakini iliwachukua muda gani kupata waamini!?..maana walipata waamini kupitia huduma za jamii,elimu na tiba...mpaka 1905 miaka 107 iliyopita walikua na waamini kiasi gani!?
Unaulizia idadi au uongo uliosema kuwa 1905 kulikuwa hakuna wakristo.
 
Wengi hata mimi sibishi Kwamba waislam si miongoni mwa watu mashujaa waliopigania Uhuru wa nchi hii laah.
Ndio Ni wao lakini na wenzao. Wengine hata dini hawana. Waliungana wakapigana kwelikweli wengine wakatoa ngombe watu wale , wengine fedha, wengine nyumba, uhai na hata nguvu pengine ilipohitajika.
Lakini wote Hawa pengine hawakua na lengo la wazi sawa na lile Julius Nyerere. Umoja. Yule aliutaka umoja wa watanganyika na baadae watanzania.
Wengine waliamua kua na chama Chao kiitwacho AMNUT Cha kiislam kuutafuta Uhuru kwa njia ya uislam.
Kwa vyovyote vile hata wangepewa Uhuru je nchi hii ingekalika?
Hapo Hadi wapagani wangeomba kipande Cha taifa lao pengine wangekiita taifa la Upagani.
Wengine wangekiita taifa la kiislam la Tanganyika.
Wengine wangeita taifa la ukatoliki la Tanganyika.
Mola mlezi alijaalia Leo twaishi vizuri japo changamoto Bado Ni nyingi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sela...
Hapa nataka nikueleze ilikuwaje AMNUT ikaundwa.

Kwa kuwa historia ya TANU haikupata kuandikwa na wenye kuijua historia hiyo AMNUT imekuwa ikielezwa sivyo kabisa.

Katika kitabu cha Abdul Sykes nimeieleza AMNUT kwa kirefu hapa nitakuwekea zile sehemu muhimu nilizokitaja chama hicho:

''Baada ya Uchaguzi wa Kura Tatu mwaka wa 1958 katika kuhisi kuwako kwa uroho na tamaa kubwa ya kujinufaisha binafsi na baada ya kuona dalili za kupiga vita Uislam kulikoanza kujitokeza katika uongozi mpya wa TANU ulioibuka, Ramadhani Mashado Plantan alijitoa katika chama na kuanzisha chama kipya, All Muslim National Union of Tanganyika (AMNUT).

Tutakuja kuona hapo baadae jinsi Mashado alivvyokuja kutupana mkono na Julius Nyerere.''

(Mashado Plantan ni mmoja wa wanachama wa mwanzo wa African Association ilipoasisiwa 1929 na ni ndugu ya Kleist Sykes, Katibu muasisi wa chama hicho).

''Huu ndiyo ukuwa mwanzo wa upinzani wa chini chini dhidi ya TANU.

Mwaka 1959, Ramadhani Mashado Plantan, mhariri hodari wa gazeti la Zuhra wakati mmoja gazeti hili likiwa ndiyo sauti ya TANU na wananchi wa Tanganyika, pamoja na kikundi kidogo cha Waislam akiwemo Saleh Muhsin walijiuzulu kutoka TANU na kuunda chama chao cha upinzani, All Muslim National Union of Tanganyika (AMNUT).

Wanachama wengine waasisi walikuwa Abdallah Mohammed ambaye alichaguliwa kuwa rais na Mashado Plantan akiwa Katibu.

Plantan alijitolea chumba kimoja nyumbani kwake Kirk Street, Gerezani kama ofisi ya kwanza ya AMNUT.

Mara tu baada ya kuundwa kwa AMNUT, ulizuka mgogoro katika uongozi na ofisi hiyo ilibidi ihamishwe kutoka nyumbani kwa Plantan hadi Libya Street, eneo lenye Wahindi wengi katikati ya mji.

Uongozi mpya ulikuja madarakani na katibu mpya Abduwahid Abdulkarim.

Abduwahid Abdulkarim, kijana mwenye umri wa miaka 25 alichaguliwa kuchukua nafasi ya Plantan.

Abdallah Mohamed alibakia na cheo chake kama rais.

AMNUT haikuweza kumudu kodi ya nyumba katika eneo lile la matajiri wa Kihindi.

AMNUT ikaihamisha ofisi yake na kwenda Kariakoo, Narungíombe Street, karibu na msikiti wa Sheikh Idris bin Saad.''

(Abdulwahid Abdulkarim ni ndugu na akina Sykes kwa upande wa mama).

''Lengo kuu la AMNUT lilikuwa ni kulinda haki na maslahi ya Waislam ambayo ilikuwa ikihisi yalikuwa hatarini katika serikali iliyoshikiliwa na Wakristo.

Abdulkarim alikwenda Tabora kujaribu kutafuta kuungwa mkono AMNUT lakini matokeo yalikuwa ya kukatisha tamaa.

Abdulkarim alichagua Tabora kwa sababu ilikuwa mahali penye athari kubwa ya Uislamu.

Hata hivyo Abdulkarim alifanikiwa kupokea mwaliko kutoka kwa Ali Muhsin Barwani kiongozi wa Zanzibar Nationality Party (ZNP) ahudhurie mkutano wa kamati kuu na awakilishe suala la AMNUT.

Mkutano huu ulifanyika katika ofisi ya ZNP Darajani huko Zanzibar.

Ali Muhsin alimwambia Abdulkarim kwamba ZNP haiwezi kujifungamanisha na tatizo la Uislam kwa sababu ZNP haikuwa inaamini kama Ukristo una uwezo wa kuhatarisha Uislam hasa ukichukulia kuwa Waislam ni wengi nchini Tanganyika.

Waislam wa Tanganyika walikataa kuiunga mkono AMNUT wakihisi sera zake zilikuwa za kuwagawa watu kwa misingi ya dini.

Kwa ajili hii basi AMNUT haikuwa na maslahi ya wananchi.''

Naamini kwa kusoma hayo hapo juu umeweza kuitambua AMNUT.
 
Nimekuelewa Mohamed Said lakini hujajibu hoja ya Kwamba waislam walikua na lengo namba moja sawa na lile la Nyerere yaani Uhuru lakini utofauti wao ukaja katika ujenzi wao wa makundi ambao pengine haukuanza na AMNUT. AMNUT ilikuwepo ndani ya TANU ikitafuna vilivyo harakati za TANU kuelekea uhuru wa 61.
Lakini utafunaji huu was harakati zile bila shaka ulirudisha nyuma hata morali ya Nyerere na wenzie

AMNUT ilikataliwa na Waislam na hii ndiyo sababu haikuweza kuleta athari yoyote.

Kwa upande wa Nyerere nguvu zake zilizidi kwa jinsi Waislam walivyoonyesha mapenzi yao kwake.
 
Kwa hiyo ilikua vita vya Uislamu dhidi ya Wazungu? Kuna ushahidi kwamba watu wa imani tofauti na Uislamu hawakushiriki hiyo vita? Kama walishiriki why Waislamu tu?
Hapo ndio Mzee huwa anafeli lakini kwa nini alazimishe sana mara bin Omar kwani kuna sehemu labda kumewahi kuandikwa Aliitwa Joseph Mbano? Kuonesha Wakristo walijipendelea Mimi binafsi naamini wale mabwana walikua na majina yao mfano Chief Songea Mbano hayo mambo ya Sheikh bin nan sijui yanatokea wapi Ungonini Jamani?
 
TATIZO LA MAJINA YA KIISLAM KATIKA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI

Ukisoma historia ya Vita Vya Maji Maji utakutana na jina Mkomanile.

Linaandikwa jina moja tu, ''Mkomanile.''

Kwa nini liandikwe jina moja tu?

Huyu ndiye mwanamke pekee katika majina karibu 67 ya mashujaa wa Vita Vya Maji Maji aliyenyongwa na kuzikwa katika kaburi la halaiki Mahenge Songea.

Huyu mwanamke jina lake ni Khadija Mkomanile.
Kwa nini jina la Khadija halikuandikwa?

Tuseme hawakulijua?

Ukisoma historia ya Maji Maji utasoma jina Chinyalanyala jina moja tu.

Kwa nini liandikwe jina moja tu?

Jina lake ni Omar Chinyalanyala.
Inawezekana kuwa jina la Omar hawakuifahamu?

Ukisoma historia ya Vita Vya Maji maji utasoma jina la Songea Mbano.

Hapa unasoma majina mawili jina moja halikutajwa.

Kwa nini jina lake la kwanza halikuandikwa lifahamike?
Huyu jina lake lake la kwanza ni Abdulraufu.

Hili jina Abdulraufu hawakulijua?
Kuna ''Kazembe'' lakini jina lakini la kwanza halipo.

Haya yanashangaza sana.

Kipande hicho hapo chini kinatoka katika kitabu cha Abdul Sykes:

''Kuelewa hali ya Uislam wakati ule, unahitaji kusoma barua iliyoandikwa na Chifu Songea bin Ruuf wakati alipokuwa akikusanya nguvu za raia wake dhidi ya majeshi ya Wajerumani na huku akijaribu kupata ushirika wa machifu wengine katika sehemu za kusini ya Tanganyika na ng'ambo ya Mto Ruvuma katika Msumbiji.

Barua hii aliyoandikiwa Sheikh, Sultan Mataka bin Hamin Massaninga anaandika (barua hii ipo katika herufi za Kiarabu):

Sultan Songea bin Ruuf anasema:

''Kwa Sheikh Sultan Mataka bin Hamin Massaninga.
Asalaam Aleikum,

Ninakuletea barua kupitia Kazembe.

Tumepata amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu kuwa Wazungu lazima waondoke nchini.

Tupo katika kupigananao hapa.

Naamini tumeshapatana muda mrefu, (kwa hiyo) niletee wanao, ili tufanye ushirikiano.

Nilitaka kukuletea mifugo kama zawadi, lakini sipo katika hali ya kuweza kufanya hivyo, kwa kuwa vita ambavyo Mwenyezi Mungu amevitaka vinaendelea.

Niletee watumiaji bunduki mia moja, na niunge mkono katika kulivamia Boma (Songea).

Ninakuletea chupa ya Mtume Muhammad, ambayo ndani yake ipo nguvu ya kuwashinda Wazungu.

Usiwe na shaka nayo, ina uwezo mkubwa.

Tutakapoliteka Boma (Songea), tutakwenda kwenye vituo katika Nyasa pamoja, mimi na wewe.

Hivi sasa tusahau ugomvi wetu wa zamani.

Chupa hii, na dawa, imeletwa na Chinyalanyala mwenyewe, kiongozi wa vita.

Ameleta vilevile kombe, na anakupa salamu nyingi.

Endapo watu wako watakuja, Chinyalanyala mwenyewe atafika na atakupa vitu vingi vilivyo vitukufu.

Hassan bin Ismail anakusalimu.
Salam nyingi,

Sultan Songea bin Ruuf.''

Msikilize Mwalimu Hussein Bashir mwandishi wa vitabu kadhaa vya historia akizungumza:

Mzee Said, majina Omar, Khadija, na Sultan ni ya Kiislamu? Unao ushahidi kuthibitisha hayo?

Vv
 
Hapo ndio Mzee huwa anafeli lakini kwa nini alazimishe sana mara bin Omar kwani kuna sehemu labda kumewahi kuandikwa Aliitwa Joseph Mbano? Kuonesha Wakristo walijipendelea Mimi binafsi naamini wale mabwana walikua na majina yao mfano Chief Songea Mbano hayo mambo ya Sheikh bin nan sijui yanatokea wapi Ungonini Jamani?
Dude...
Historia hii ninayosomesha hapa inakutaka wewe uuache ubongo wako wazi kujifunza.

Ukiwa utaufunga ubongo wako utabakia hujui.

Jina lake Khadija bint Mkomanile.
Lakini wanahistoria siku zote wanaandika jina moja tu.

Jiulize kwa nini?
 
Mzee Said, majina Omar, Khadija, na Sultan ni ya Kiislamu? Unao ushahidi kuthibitisha hayo?

Vv
Vyama...
Mimi siko hapa kubishana kwa vitu kama hivyo kwani tutapoteza muda wa maana katika kujifunza.

Mimi niko hapa nasomesha historia ambayo wewe hukuwa unaijua ili nikusaidie kufikiri ili upate elimu mpya.

Khadija Mkomanile ni mwanamke pekee aliyenyongwa kwa kunyanyua silaha kupigana na adui aliyevamia nchi yetu.

Muhimu kuijua historia yake kamili na majina yake kamili.

Halikadhalika Hassan Omar Makunganya.
 
Hapo ndio Mzee huwa anafeli lakini kwa nini alazimishe sana mara bin Omar kwani kuna sehemu labda kumewahi kuandikwa Aliitwa Joseph Mbano? Kuonesha Wakristo walijipendelea Mimi binafsi naamini wale mabwana walikua na majina yao mfano Chief Songea Mbano hayo mambo ya Sheikh bin nan sijui yanatokea wapi Ungonini Jamani?
Dudu...
Naam katika orodha ya mashujaa 67 walionyongwa Mahenge Songea kuna Father kutoka Peramiho inadaiwa aliwabatiza Waislam kabla ya kunyongwa na akawapa majina ya Kikristo.

Anaefeli ni wewe kwa kuwa huna elimu ya historia hii lakini unataka ujadili na mie katika somo nilijualo vyema.
 
Vyama...
Mimi siko hapa kubishana kwa vitu kama hivyo kwani tutapoteza muda wa maana katika kujifunza.

Mimi niko hapa nasomesha historia ambayo wewe hukuwa unaijua ili nikusaidie kufikiri ili upate elimu mpya.

Khadija Mkomanile ni mwanamke pekee aliyenyongwa kwa kunyanyua silaha kupigana na adui aliyevamia nchi yetu.

Muhimu kuijua historia yake kamili na majina yake kamili.

Halikadhalika Hassan Omar Makunganya.
Umezungumzia wapiganaji wa Majimaji na majina ya Kiiislamu, nimekutaka utoe ushahidi kaka majina Sultan, Omar, na Khadija ni Kiislamu, naona unahamisha goli.

Swali langu ni rahisi tu, hayo makina ni ya Kiislamu? Mzee Said, nipe ushahidi tu maana umehusianisha hayo majina na Uislamu. Wewe ni mwanazuoni wa elimu dunia na ahera, hilo swali ni rahisi kwa mwanazuoni kama wewe.

Vv

Vv
 
Sela...
AMNUT ilikataliwa na Waislam na hii ndiyo sababu haikuweza kuleta athari yoyote.

Kwa upande wa Nyerere nguvu zake zilizidi kwa jinsi Waislam walivyoonyesha mapenzi yao kwake.
Na so Kwamba AMNUT ilianza kujipambanua wazi baadae na kuuchelewesha Uhuru ule wa 61? Hii

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wengi hata mimi sibishi Kwamba waislam si miongoni mwa watu mashujaa waliopigania Uhuru wa nchi hii laah.
Ndio Ni wao lakini na wenzao. Wengine hata dini hawana. Waliungana wakapigana kwelikweli wengine wakatoa ngombe watu wale , wengine fedha, wengine nyumba, uhai na hata nguvu pengine ilipohitajika.
Lakini wote Hawa pengine hawakua na lengo la wazi sawa na lile Julius Nyerere. Umoja. Yule aliutaka umoja wa watanganyika na baadae watanzania.
Wengine waliamua kua na chama Chao kiitwacho AMNUT Cha kiislam kuutafuta Uhuru kwa njia ya uislam.
Kwa vyovyote vile hata wangepewa Uhuru je nchi hii ingekalika?
Hapo Hadi wapagani wangeomba kipande Cha taifa lao pengine wangekiita taifa la Upagani.
Wengine wangekiita taifa la kiislam la Tanganyika.
Wengine wangeita taifa la ukatoliki la Tanganyika.
Mola mlezi alijaalia Leo twaishi vizuri japo changamoto Bado Ni nyingi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Upumbavu huu hiv upagani ni nini? Kwann mnakuwa wajinga namna hii? Kuita mtu mpagani nao ni ushamba na upumbavu, ni sawa na kuwatusi babu zako ambao waliishi kabla ya uhio wa hizo dini za kihuni..

Hii nchi dini zisingekuwepo tungekuwa mbali sana, dini zimewaharibu na kuwalemaza watu.
 
Umezungumzia wapiganaji wa Majimaji na majina ya Kiiislamu, nimekutaka utoe ushahidi kaka majina Sultan, Omar, na Khadija ni Kiislamu, naona unahamisha goli.

Swali langu ni rahisi tu, hayo makina ni ya Kiislamu? Mzee Said, nipe ushahidi tu maana umehusianisha hayo majina na Uislamu. Wewe ni mwanazuoni wa elimu dunia na ahera, hilo swali ni rahisi kwa mwanazuoni kama wewe.

Vv

Vv
Vyama...
Nikikujibu kuwa Omar ni jina la Kihindu utajisikia vizuri?

Nimekujibu kistaarabu na nilitegemea utanielewa.

Je, umepata kusikia jina la Khadija nje ya Waislam?

Sihamishi goli ila nilitaka nikuzindue kidogo utumie akili yako ujifunze kuuliza maswali yenye tija.
 
Upumbavu huu hiv upagani ni nini? Kwann mnakuwa wajinga namna hii? Kuita mtu mpagani nao ni ushamba na upumbavu, ni sawa na kuwatusi babu zako ambao waliishi kabla ya uhio wa hizo dini za kihuni..

Hii nchi dini zisingekuwepo tungekuwa mbali sana, dini zimewaharibu na kuwalemaza watu.
Ugm...
Katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika hapakuwa na mpagani hata mmoja.

Ikiwa unayo historia kuwa kulikuwa na Wapagani tufahamshe.

Wala upagani si tusi.

Maana yake ni kutoamini kuwepo kwa Allah Muumba wa Mbingu na Ardhi.
 
Back
Top Bottom