Asante mkuu.Pole kw kuuguza mkuu. Naomba nikuulize kidogo?
1. Ndani ya hiyo miezi 7 umeenda Kairuki tu kwa Dr huyo mmoja?
2. Alikutajia jina la ugonjwa na uka-google kuthibitisha kama ndio huo wa mwanao na kama kweli hauna tiba?
Pole mkuu. Ngoja wadau waje. Ila na mimi ntakuwa naulizia kwa wataalam. Kwa lolote lile nitakujuza ndg yangu. Usiache kujaribisha hosp kubwa kama Muhimbili na KCMC, huko ndiko kuna maspecialist wa ngozi.Asante mkuu.
Ndani ya miezi 7 alikuwa akitibiwa hospital za ngazi ya rufaa kama Ndanda referral na kwa wachina katika vituo vyao vya matibabu, wao ndio wakatoa ushauri tutafute vipimo zaidi kwakua wao wamekwama ndio tukafika kwa Kairuki ambapo alitazamwa na kupewa majibu bila kufanyika kipimo chochote.
Jina la ugonjwa lilitamkwa ni Virus pekee ambao wapo katika damu ambao wataendelea kusambaa mwili mzima.
Asante sana mkuu kwa mwanga huu, miezi 7 ilikuwa ya kuwashwa na badae ndio ikatokea hivyo hali baada ya kutumia sana antibiotics.Mara nyingi vipele vinavyohusika na Kushuka Kinga Mwilini au Upungufu wa Kinga Mwilini mi Herpes Zoster lakini haviwezi kudumu miezi saba yote. Nadhani kama hajaugua Surua peleka kwa Doctor wa watoto mwenye utaalamu wa Ngozi kama unavyoshauriwa. Pia mpe vyakula vyenye kuongeza CD4 kwa wingi.
Asante, ndio maana nikaomba msaada wa ushauri kwenu ili nijue wapi pakuanzia baada ya kupewa majibu ya kunivunja moyo. Na namna ulivyoona ndio tatizo lilivyo.Naona patern,na hzo blister ni colourles,nahis ni herpes zoster,..mnaenda hospital za ajab,wanabahatisha bahatisha tu,mpeleke mtoto muhimbili kwa ma Md wa ukwel uone kama hutopata jib..
Nipo mwanza kwasasa ila si kikwazo, naweza kupata maelekezo ya namna ya kufika hospital hiyo mkuu. TafadhaliMkuu pole sana na maswahiba yanayokupata,
Najua utapata ushauri mwingi sana hapa,
Sijajua kwa sasa upo wapi ila kama upo dar mpeleke tumaini hospitali yule kwa Dr. Shmwela n mbibi mmoja ila yuko poa sana
Pale wanatumia bima za aina zote mkuu
Hospital ipo Upanga dar karibu na ukimbi wa Diamond jubileeNipo mwanza kwasasa ila si kikwazo, naweza kupata maelekezo ya namna ya kufika hospital hiyo mkuu. Tafadhali
Mara nyingi antibiotics hazifai kutumia bila kushauriwa na Daktari. Pia endapo anapata maumivu makali mpe sharubati ya majani ya mpera kupunguza maumivu. Wahi tiba haraka. Herpes Zoster ndo tunaita mkanda wa jeshi na ni hatari sana kwani huweza kusababisha ulemavu.Asante sana mkuu kwa mwanga huu, miezi 7 ilikuwa ya kuwashwa na badae ndio ikatokea hivyo hali baada ya kutumia sana antibiotics.
Asante, jambo la kushangaza hapati maumivu na hivyo vidude ni laini lakini si vyakutumbuka kama upele mwingine. Itakuwa ni hiyo hiyo Herpes Zoster?Mara nyingi antibiotics hazifai kutumia bila kushauriwa na Daktari. Pia endapo anapata maumivu makali mpe sharubati ya majani ya mpera kupunguza maumivu. Wahi tiba haraka. Herpes Zoster ndo tunaita mkanda wa jeshi na ni hatari sana kwani huweza kusababisha ulemavu.
Pole mkuu mbna iko wazi hyo ni HERPES ZOSTER( mkanda wa jeshi) hao ni virus ambao huletwa na upungufu wa kinga mwilini lakini hai maanishi mtu ni HIV +ve.Huu ugonjwa umetokea takriban miezi 7 sasa unamsumbua mtoto wangu, nimefika kwa mtaalam wa magonjwa haya pale kwa Dr kairuki na akamtazama bila vipimo akasema ni Virus ambao walichangiwa na kushuka kinga mwili hivyo ugonjwa huu hautibiki.
Kwa mtu yoyote anaefahamu tiba au ushauri wowote nitapokea. Asante