Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,555
- 3,208
Huu ugonjwa umetokea takriban miezi 7 sasa unamsumbua mtoto wangu, nimefika kwa mtaalam wa magonjwa haya pale kwa Dr kairuki na akamtazama bila vipimo akasema ni Virus ambao walichangiwa na kushuka kinga mwili hivyo ugonjwa huu hautibiki.
Kwa mtu yoyote anaefahamu tiba au ushauri wowote nitapokea. Asante
Kwa mtu yoyote anaefahamu tiba au ushauri wowote nitapokea. Asante