Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,555
- 3,208
- Thread starter
- #21
Asante sana, ni kweli kwa maelekezo ya awali tuliambiwa ni upungufu wa kinga ambao historia yake ni utumiaji wa antibiotics kwa muda mrefu, japo tumempima mtoto mara kadhaa hana HIV. Nashukuru sana kwa kunifungulia njia. Ni kweli inatibika lakini?Pole mkuu mbna iko wazi hyo ni HERPES ZOSTER( mkanda wa jeshi) hao ni virus ambao huletwa na upungufu wa kinga mwilini lakini hai maanishi mtu ni HIV +ve.
Dalili zake huwa ni homa kali, na vina maumivu saana mgonjwa hupata maumivu mithili ya shoti kupiga haswa pale vinapo washa...na pia huwa vina washa saana.
Treatment yake: Acyclovir tabs. 4×3.. kuna altenative lakin izi Acyclovir huwa na first line of treatment. Lakin hutolewa kulingana na Umri na Kg za patient.
Kibongo bongo sidhani kama kuna kipimo cha HERPES zoster bali watu hutibiwa clinicaly.
Ni muhimu kumuona dr wa ngozi kabla yaku anza tumia hizo Acyclovir.
Supplanter[emoji768]