Tatizo la maradhi haya ya ngozi

Tatizo la maradhi haya ya ngozi

Pole mkuu mbna iko wazi hyo ni HERPES ZOSTER( mkanda wa jeshi) hao ni virus ambao huletwa na upungufu wa kinga mwilini lakini hai maanishi mtu ni HIV +ve.
Dalili zake huwa ni homa kali, na vina maumivu saana mgonjwa hupata maumivu mithili ya shoti kupiga haswa pale vinapo washa...na pia huwa vina washa saana.

Treatment yake: Acyclovir tabs. 4×3.. kuna altenative lakin izi Acyclovir huwa na first line of treatment. Lakin hutolewa kulingana na Umri na Kg za patient.
Kibongo bongo sidhani kama kuna kipimo cha HERPES zoster bali watu hutibiwa clinicaly.
Ni muhimu kumuona dr wa ngozi kabla yaku anza tumia hizo
Acyclovir.
Asante sana, ni kweli kwa maelekezo ya awali tuliambiwa ni upungufu wa kinga ambao historia yake ni utumiaji wa antibiotics kwa muda mrefu, japo tumempima mtoto mara kadhaa hana HIV. Nashukuru sana kwa kunifungulia njia. Ni kweli inatibika lakini?

Supplanter[emoji768]
 
Mkanda wa jeshi unatibika kwa wataalamu wa afya na hata wataalamu wa mitishamba,pole jaribu kuwaona madaktari hasa muhimbili au kcmc dogo atapona tu mama
 
Pole mkuu mbna iko wazi hyo ni HERPES ZOSTER( mkanda wa jeshi) hao ni virus ambao huletwa na upungufu wa kinga mwilini lakini hai maanishi mtu ni HIV +ve.
Dalili zake huwa ni homa kali, na vina maumivu saana mgonjwa hupata maumivu mithili ya shoti kupiga haswa pale vinapo washa...na pia huwa vina washa saana.

Treatment yake: Acyclovir tabs. 4×3.. kuna altenative lakin izi Acyclovir huwa na first line of treatment. Lakin hutolewa kulingana na Umri na Kg za patient.
Kibongo bongo sidhani kama kuna kipimo cha HERPES zoster bali watu hutibiwa clinicaly.
Ni muhimu kumuona dr wa ngozi kabla yaku anza tumia hizo
Acyclovir.
Yo so smart! fafanua kiasi,ila you have tried in a best way,herps kwa miezi 7???
 
Herpes zoster hutokea kma msatari upande mmoja hivyo kujua kama ni huo angalia vipele viko maeneo gani japo naona kama hivyo vinasambaa pia jitahidi kinga yake ipande mpe supplements na vyakula vya kupandisha kinga na je anaumri ganj
Una kariri..??
 
Asante sana, ni kweli kwa maelekezo ya awali tuliambiwa ni upungufu wa kinga ambao historia yake ni utumiaji wa antibiotics kwa muda mrefu, japo tumempima mtoto mara kadhaa hana HIV. Nashukuru sana kwa kunifungulia njia. Ni kweli inatibika lakini?

Supplanter[emoji768]
Unatibika vizur tu. Ila uki uchelewesha ndo tatizo linapo anzia. Mfano ivyo hapo juu naona vime samba. Hii ina maanisha ndani vitakuwa vimekula zaidi kuliko nje.. haknaga kipimo cha hao virus ad leo sijawah kukiona hii iki maanisha kibongo bongo hakna. Drugs of choice ni Acyclovor 500mg. Na Famicyclovir 500mg au sindano ya Valacylovir 1g.
Ata kama nme kuandikia dawa nilazima umuone dr wa Internal Medicine na syo wa ngozi ili aku shauri vzr.
 
Why not..?? Kama hija tibiwa..!?
Don't ask why not, may aim was not to contradict with you, it is just about to broaden a bit what you have. Chiefly in accordance to the diagnosis you have achieved, those kind of clinical conditions are self limiting, but there's a lot to talk about it especially when you talk about chronic herpes zoster,theres specific pictures an individual may present & being affected . Narudia tena umeelezea vizuri lakini bado ungeingia kwa undani kidogo ujiridhishe na kujihakikishia unachohisi ndicho,then unatoa tiba.All in all uko vizuri. Nikipata muda ntapita kujazia kidogo kama hutajali ingawa sio kila post ni"comment"
 
Huyo doctor ni fake.

Hebu kwanza google skin disease caused by virus
 
Don't ask why not, may aim was not to contradict with you, it is just about to broaden a bit what you have. Chiefly in accordance to the diagnosis you have achieved, those kind of clinical conditions are self limiting, but there's a lot to talk about it especially when you talk about chronic herpes zoster,theres specific pictures an individual may present & being affected . Narudia tena umeelezea vizuri lakini bado ungeingia kwa undani kidogo ujiridhishe na kujihakikishia unachohisi ndicho,then unatoa tiba.All in all uko vizuri. Nikipata muda ntapita kujazia kidogo kama hutajali ingawa sio kila post ni"comment"
Sawa mkuu ni vizuri uki jazia nilipo sahau. Lengo langu kuu niku mfungua macho. Kuelezea deep niku mchanganya patient. Kipi cha muhimu kwake ni kujua jinsi yaku tibu na kuzuia. Natarajia ku gain mengi kwenye posti yako.
Karibu.
 
Pole sana Ndugu nakushauri nenda Hospitali ya Chuo kikuu cha Dar Es Salaam pale, kuna dactori wa ngozi pale alinibia mwanangu alikua na tatizo sugu la ngozi, anapatikana kuanzia asubuhi mpaka saa sita mchana tu. Nakuomba umuone amebobea sana kwenye matatizo hayo
 
kama ngozi itakua na muwasho mtoto anajikuna sana hapati ucngizi, bac itaakua ni pumu ya ngozi, dawa ya kutibu ngozi irudi hali yake ipo
 
Herpes zoster hutokea kma msatari upande mmoja hivyo kujua kama ni huo angalia vipele viko maeneo gani japo naona kama hivyo vinasambaa pia jitahidi kinga yake ipande mpe supplements na vyakula vya kupandisha kinga na je anaumri ganj
Ana miaka 3 na mwezi mmoja, vimetokea shingoni kwa mbele na mgongoni japo vinaashiria kuendelea. Pia Supplements za viwanda vipi ni vizuri zaidi?
 
Unatibika vizur tu. Ila uki uchelewesha ndo tatizo linapo anzia. Mfano ivyo hapo juu naona vime samba. Hii ina maanisha ndani vitakuwa vimekula zaidi kuliko nje.. haknaga kipimo cha hao virus ad leo sijawah kukiona hii iki maanisha kibongo bongo hakna. Drugs of choice ni Acyclovor 500mg. Na Famicyclovir 500mg au sindano ya Valacylovir 1g.
Ata kama nme kuandikia dawa nilazima umuone dr wa Internal Medicine na syo wa ngozi ili aku shauri vzr.
Asante sana, tena sana Mkuu
 
Pole sana Ndugu nakushauri nenda Hospitali ya Chuo kikuu cha Dar Es Salaam pale, kuna dactori wa ngozi pale alinibia mwanangu alikua na tatizo sugu la ngozi, anapatikana kuanzia asubuhi mpaka saa sita mchana tu. Nakuomba umuone amebobea sana kwenye matatizo hayo
Asante sana Mkuu wanapokea pia Bima ya NHIF?
 
kama ngozi itakua na muwasho mtoto anajikuna sana hapati ucngizi, bac itaakua ni pumu ya ngozi, dawa ya kutibu ngozi irudi hali yake ipo
Muwasho ulikuwa awali wenye vipele vidogo kama vya jasho au joto kali, ila kwasasa hakuna muwasho wala maumivu yoyote anayohisi.
 
Don't ask why not, may aim was not to contradict with you, it is just about to broaden a bit what you have. Chiefly in accordance to the diagnosis you have achieved, those kind of clinical conditions are self limiting, but there's a lot to talk about it especially when you talk about chronic herpes zoster,theres specific pictures an individual may present & being affected . Narudia tena umeelezea vizuri lakini bado ungeingia kwa undani kidogo ujiridhishe na kujihakikishia unachohisi ndicho,then unatoa tiba.All in all uko vizuri. Nikipata muda ntapita kujazia kidogo kama hutajali ingawa sio kila post ni"comment"

Ma dr wa siku hizi mna mbwembwe sana mtu anataka msaada amekwama nyie mnaleta swaga za english.kwa mtindo huu tutakufa sana..yaani hutoi msaada mpaka ujisikie??
 
sio hivyo mkuu wala sikuwa na nia ya kutafuta swaga,unakuta una majukumu mengine basi unashindwa kutimiza ya JF,ndo maana nilisema "ingawa sio lazima kila kitu ni 'comment'" pole sana bosi kama umekwazika.
 
Nenda KCMC nilipata Hitilafu Kidogo Nikaelekezwa Pale wana Clinic Special ya Dermatology ninachokumbuka nilifanyiwa Diagnosis na

Wazungu wawili
Wabongo 3 mmoja alikua kama Anatafsiri wale wazungu walijua Siwezi Kuongea Kiingereza aisee pale Pana Huduma Ndani ya Wiki Sikuona tena ile shida.

Huyo Dogo ataangaliwa na Timu ya Madaktari.
 
Back
Top Bottom