Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Okay thanks sana kaka, ngoja nijikusanye siku nikajaribu na huko.
 
Wahi hospital haraka sana, uchunguzi ufanyike kuingiza vifaa maaluma ndani ya sikio na kusafishwa. Usipende kuingiza kila dawa kwenye sikio pasipo kufuata ushauri wa DAKTARI.
 
Matatizo ya sikio yanaitaji umakini wadau. Sio kila dawa lazima uingize utasababisha ukiziwi kwa mtoto. Nashaur tafunda wataalam waliobobea kwenye fani ya magonjwa ya sukio kwenye hospital kubwa atapona mtoto wetu. Pole sana mungu atakusaidia
 
zinginary,
Unachosema ni kweli mkuu hapa bongo wanazingua sana, hearing aid itamuhusu dogo!
 
Unachosema ni kweli mkuu hapa bongo wanazingua sana,hearing aid itamuhusu dogo!!
Hakika mkuu sometimes huwa natilia shaka na hawa Madokta. Either wavivu kutumia utalaamu wao au vilaza kuna magonjwa km typhod at the end the day nilikuja kupona kwa kunywa mixer ya
Aloe vela, Majan ya mpera, Majan ya mparachichi na majani ya songwa

But awali unapewa doz,tumbo linatulia kwa muda baada ya miez tena ila baada ya tiba hiyo amazing typhod kwisha. Sasa tatizo la masikio ni msala kwote kwote hakuna tiba saizi navaa hilo dude utazan mlinz wa rais,hapo hapo macho walisema miwanii niliwaachia.
 
Mkuu mpeleke akaonane na Dakitar bingwa wa maskio (ENT) kwa uchunguzi zaid! Achana na mambo ya kujaribu dawa bila kujua chanzo cha tatizo
 
Safari Safi, ukishindwa huko Hospitali kumtibia mwanao anaye sikia kwa mbali nitafute mimi nimpe dawa zangu atumie kwa siku 30 atasikia vizuri sana. Ukihitaji dawa zangu ili nimtibie mwanao apone,
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Mkuu, mzizi mkavu! uko wapi mbona namba ya simu tu imenitisha?
 
MziziMkavu,
Mkuu hilo tatizo mie ninalo japo masikio yangu hayatoi usaha wala uchafu, nimejalibu Hospital zote, Mwananyamala, Msasani, Muhimbili lakini bado shida tu.

Mpaka nimekata tamaa
 
Chukuwa kijiko 1 kidogo cha unga wa mdalasini korogea ndani ya kikombe 1 cha maji ya moto kisha awe anakunywa kila siku asubuhi kabla ya kula kitu na mchana na usiku atumie hiyo dawa kwa muda wamiezi 3 atasikia vizuri.

 
Unajua sababu ya tatizo hilo,? Linatoa uchafu wa aina yo yote? Nta imejaa au huwa anatoa? Kutoa nta yote sikioni pia kuna madhara. Ile nta ina kazi yake. Nibgekushauri utoe maelezo timilifu au uone wataalamu hospital
 
Unajua sababu ya tatizo hilo,? Linatoa uchafu wa aina yo yote? Nta imejaa au huwa anatoa? Kutoa nta yote sikioni pia kuna madhara. Ile nta ina kazi yake. Nibgekushauri utoe maelezo timilifu au uone wataalamu hospital
sijajua chanzo cha hili tatizo na wala hatoi uchafu wowote
 
Masikio kuwa na uchafu sidhani kama yanaweza kumfanya mtu asisikie vizuri kwa sababu asilimia kubwa ya watu hawajawahi kusafisha masikio tangu wakiwa wadogo ila wanasikia vizuri tu. Huenda ana msongo wa mawazo unaomfanya apoteze concetration.
 
Pole sana tunaweza wasiliana kwa Msaada wa matibabu. Nifuate PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…