Pole, usisumbuke na sikio, nenda ukacheki meno yako esp meno ya magigo. Hilo siyo tatizo la masikio utakuwa na meno yametoboka. Pole sana kwa kudanganywa na watalaamu. Nina uhakika ya hiki nilichoandika!!
Tena uende ucheki mapema kwani infection ya meno kutoboka isije fika kwenye ubongo. Tafuta mtalasm mzuri wa meno kwa dar pale kariakoo yupo jamaa mmoja hospital ya AAR ni mzuri sana ingawa sina hakika kama bado yupo, otherwise kuepuka complications za meno unaweza meza antibiotic before kwenda kuong'oa. All the best!