Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Usimtishe kila mtu hali hiyo huwa inaweza mtokea hata wewe inaweza kukutokea mimi imesha wahi kunitokea na kuondoka zake.

Mimi maskio yangu km yanaziba alafu yanapelekea ngozi yakicha na uso pembeni km kumefungwa na kitu yani km nimevalishwa kofia


Sent by iOS
 
miriam 111,
Nenda kawaone madaktari wale wa upande wa pili. Nenda Kanisani kawaeleza watumishi wa Mungu
 
Samahani wanajamvi Nina tatizo la kutoskia vizuri since 2014 maskio yangu yanatoa miungurumo, kama gas hv pia hayatoi usaha wala uchafu tatizo ni nini ndugu yanafanya kichwa kiwe kizito Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kakutane na dr
Kuna specialist wa koo,masikio na kinywa ni wa muhimbili,lkn huwa anapatikana hospsital ya kinondoni kwa Mvungi kila jumanne saa 11 jioni.

Dr Edwin. Au nenda Ekenywa hospital ipo Magomeni Mikumi kituo cha mwembechai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo inamaanisha ulikuwa unakaa sehemu zenye kelele kwa kiasi kikubwa au ulikuwa una mazoea sana ya kutumia earphone kusikiliza mziki kwa sauti kubwa sana
Samahani wanajamvi Nina tatizo la kutoskia vizuri since 2014 maskio yangu yanatoa miungurumo, kama gas hv pia hayatoi usaha wala uchafu tatizo ni nini ndugu yanafanya kichwa kiwe kizito Sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aende Muhimbili akishajiandikisha atapelekwa kitengo cha Audiometry atapimwa uwezo wa kusikia na kupewa ushauri kama anafaa kutumia hicho kifaa atapewa au atashauriwa njia nyingine ya tiba.
Nina ndugu yangu nataka nimnunulie vile vi earphone sijui vinapatikana wap.Mana anasikia kwa mbali sana.Kuongea nae mpaka upayuke ama akutazame mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna possibility masikio yake yana vitundu kwenye ngoma ya sikio. Nenda muhimbili,TMJ au Agakhan ndio kuna specialists wana vifaa vya kisasa vya kupima na kuona tatizo. Kama ngoma ya masikio imetoboka wataona na kukwambia na watakwambia imetoboka kwa kiasi gani.

Kama tundu lake ni dogo sana kuna dawa utapewa utumie na litajiziba lenyewe na kama limetoboka sana pia watakwambia tiba yake.
Hata mimi nina ugonjwa kama huo na nilishaanza kufanya ufuatiliaji miaka iliyopita japo niliishia katikati
Habarini wapendwa

Mwezi uliopita katika halakati za maisha nilijikuta nmechelewa sana kurudi nyumbani kutokana na hali ya kuhofia usalama wangu huko ntakapopita niliamua kwenda kulala kwa jamaa yangu tunaehangaika wote kutafuta chochote kitu maana yeye hakai mbali kama Mimi hivyo tuliongozana mpaka nyumbani kwake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miriam 111, Nimeona haya maelezo haya makelele masikioni Leo ingawa Ni maiaka mingi imepita. Pole lkn je uliisha Pona au kupata ufumbuzi?

Shida hii ninayo mimi pia tangu miaka ya 90 mpaka leo bado nina tatizo hii. Mbaya zaidi pia Nina tatizo la macho yote yalikuja pamoja nikiwa bado nipo Alevel Pamoja na hayo nilipambana na hali hii. Ila kwa kweli inakatisha tamaa. Matatizo haya yanakutoa kabisa katika jamii. Unakuwa antisocial.
Kuna mwenye suluhisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF....Msaada kidogo kwa anaefahamu dawa nzuri inayotibu maumivu ya masikio yanayopelekea kichwa kuuma....Nasumbuliwa na hilo tatizo kama wiki sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za huku wakuu? naomba niende straight nisiwachoshe....Mimi nina tatizo la usikivu almost mwaka sasa especially katika sikio langu la upande wa kushoto na sasa naona dalili zilezile katika sikio langu la upande wa kulia (dalili hizo ni kama sauti za vitu nisivyovielewa)

Nimejaribu kuwaona ENT mbalimbali lakini bado nina hili tatizo pamoja na kufanya matibabu katika sehemu mbalimbali mfano EKENYWA na AAR lakini usikivu unazidi kupungua kila siku mpaka sasa watu wananiambia kuwa nasound tofauti na ilivyo kawaida na ni rahisi wengi kujua kuwa nina tatizo la usikivu...

Swali Langu Humu...Je ni dawa gani zinafaa kunirudishia usikivu? ni mbinu gani nitumie? na ushuhuda mbalimbali wa hili tatizo linalofanana na langu na ni kivipi naweza kuescape hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nimetumia shabu'"unaenda duka LA dawa za kiarabu unamwambia akupe kijiko cha shabu mara nyng kijiko mia tano,hayo mawe ya shabu yachukue na uyaloweke kiasi unachoona kinafaa ila na vimaji tu saizi ya kijiko cha chakula baada ya hapo tia tone 2-3 kwenye sikio linalouma utapata nafuu kama mm"
Jamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada
 
Jamani karibuni Kama wwe unatatizo hili tuambie ni njia gani unatumia kukabiliana na changamoto mbalimbali manaake tunaojua wengine ni wanafunzi,wafanyakazi na njia gani ulitumia kufika hapo ulipo sote tunaojua tatizo hili usipotumia njia mbalimbali mbadala unaweza kuwa kwenye stess hi ni kutokana na jamii kushindwa kuelewa Yale unayopitia au Kama Kuna mtu amewahi kuishi na watu wenye tatizo hili alikuwa anawasaidia vp Ili waweze kutimiza mambo yao karibuni jamani
 
Back
Top Bottom