divanology
Member
- Mar 23, 2019
- 39
- 49
Habarini wapendwa
Mwezi uliopita katika halakati za maisha nilijikuta nmechelewa sana kurudi nyumbani kutokana na hali ya kuhofia usalama wangu huko ntakapopita niliamua kwenda kulala kwa jamaa yangu tunaehangaika wote kutafuta chochote kitu maana yeye hakai mbali kama Mimi hivyo tuliongozana mpaka nyumbani kwake
Usiku wakati tumelala nilihisi kama kunakitu kimeingia ndani ya sikio baada ya kuahtuka na kuwasha taa nligundua kuwa kunamdudu ameniingia skioni hivyo alikuwa ameshindwa kwenda ndani zaid hivyo anahangaika ili kutoka lakin kutokana na ukubwa wake au nta zilizopo ndani ya sikio basi alikuwa amekwama na anahangaika humo ndani
Mi kuogopa zile purukushani zake nilichukua kinjiti cha kiberiti nkawa nafanya kama natanua hivi ili aweze kutoka nilihangaika kwa muda mpaka nkawa nimejichubua kwenye pina nahisi ni karibu na auditory canal lakin hatimaye yule mdudu alitoka
Nilikaa kwa muda kama wiki kadhaa mbele bila shida lakin baadae nkaanza kuhusi kama kunahali ya kimiminika kizito kinamwagika yan nta imekuwa nyingi mno kila dakika nkiligusa sikio linakuwa limetengeneza nta ya kutosha halijaishia hapo likawa linahali fran ivi kama linawasha kwa mbali then likawa linazid kukomaa na hiyo hali ikawa kama inauma lakin sio sana
sasa tangu wiki lililopita naona kama kunamshipa cjui au ni uvimbe kwa ndani chini kidogo ya sikio yaan kama natafuna naona kama uvimbe unauma then skio kama linaziba fran yaan kama maji yameingia sikioni sasa unavyokuwa unaskia sauti znavyokuwa ndo hali nnayoihisi lakin kwa sasa sio moja tena bali ni MASIKIO yote tena yanavuta alafu yanaachia
NB;ule mchubuko ulipona kabisa
Kwa utaalamu na taaruma zenu JF doctor na wengine wenye uzoefu au wamewai kushuhudia hali kama hii naomba msaada wenu kujua tatizo ni nn hasa hatma yake, sababu zake, matibabu yake pia
Shukrani zangu ziende kwenu nyote.