Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Habarini wapendwa

Mwezi uliopita katika halakati za maisha nilijikuta nmechelewa sana kurudi nyumbani kutokana na hali ya kuhofia usalama wangu huko ntakapopita niliamua kwenda kulala kwa jamaa yangu tunaehangaika wote kutafuta chochote kitu maana yeye hakai mbali kama Mimi hivyo tuliongozana mpaka nyumbani kwake

Usiku wakati tumelala nilihisi kama kunakitu kimeingia ndani ya sikio baada ya kuahtuka na kuwasha taa nligundua kuwa kunamdudu ameniingia skioni hivyo alikuwa ameshindwa kwenda ndani zaid hivyo anahangaika ili kutoka lakin kutokana na ukubwa wake au nta zilizopo ndani ya sikio basi alikuwa amekwama na anahangaika humo ndani

Mi kuogopa zile purukushani zake nilichukua kinjiti cha kiberiti nkawa nafanya kama natanua hivi ili aweze kutoka nilihangaika kwa muda mpaka nkawa nimejichubua kwenye pina nahisi ni karibu na auditory canal lakin hatimaye yule mdudu alitoka

Nilikaa kwa muda kama wiki kadhaa mbele bila shida lakin baadae nkaanza kuhusi kama kunahali ya kimiminika kizito kinamwagika yan nta imekuwa nyingi mno kila dakika nkiligusa sikio linakuwa limetengeneza nta ya kutosha halijaishia hapo likawa linahali fran ivi kama linawasha kwa mbali then likawa linazid kukomaa na hiyo hali ikawa kama inauma lakin sio sana

sasa tangu wiki lililopita naona kama kunamshipa cjui au ni uvimbe kwa ndani chini kidogo ya sikio yaan kama natafuna naona kama uvimbe unauma then skio kama linaziba fran yaan kama maji yameingia sikioni sasa unavyokuwa unaskia sauti znavyokuwa ndo hali nnayoihisi lakin kwa sasa sio moja tena bali ni MASIKIO yote tena yanavuta alafu yanaachia
NB;ule mchubuko ulipona kabisa

Kwa utaalamu na taaruma zenu JF doctor na wengine wenye uzoefu au wamewai kushuhudia hali kama hii naomba msaada wenu kujua tatizo ni nn hasa hatma yake, sababu zake, matibabu yake pia

Shukrani zangu ziende kwenu nyote.
 
Safisha vzr masikio yako kwa pamba safi kila siku,hiyo hali itaisha,usiweke dawa za matone zitakausha nta za masikio zitakua ngumu kama simenti
 
Hicho kizunguzungu husababishwa na mishipa ya fahamu kwenye masikio kuwa mibovu.. Kuna dawa ya mishipa inaitwa neuroton inaweza kukusaidia.

Mkuu mimi naumwa na kichwa ambacho huambatana na masikio naomba msaada juu ya hilo. zaidi huja ikitokezea kuweka headphone au kuzungumza na sim kwa mda mkubwa kidogo.
 
Inasaidia kutoa uchafu uliopo masikioni mkuu kuntubaby yani ukiweka hizo drops kama siku tatu tu uchafu unaanza kutoka wenyewe

Mkuu mimi naumwa na kichwa ambacho huambatana na masikio naomba msaada juu ya hilo. zaidi huja ikitokezea kuweka headphone au kuzungumza na sim kwa mda mkubwa kidogo.
 
Mimi nimeishatuma ka hospital kibao bila mafanikio.

Mimi tatizo langu ni kuhisi kitu kimekaba kooni mda mchache baada ya kula. Halii humbatana na maskikio kuziba na macho kuuma na kuona kwa tabu Kisha baadae kuanza kubehua...
 
Mkuu mimi naumwa na kichwa ambacho huambatana na masikio naomba msaada juu ya hilo. zaidi huja ikitokezea kuweka headphone au kuzungumza na sim kwa mda mkubwa kidogo.

Sasa mkuu umeshajua source ya tatizo.....acha kutumia hizo earphones
 
Sasa mkuu umeshajua source ya tatizo.....acha kutumia hizo earphones

tatizo sio head phone tatizo ni kwanini nipate maumivu mbona wengine hawapati? Simtumiaji wa head phone kwa hiyo halinishuhulishi hilo. Tatiza linakuja ni kuwa nahofia lisije likawa tatizo kubwa baadae.

Sio ishu ya head phone, Hata nikizungumza na sim mara nyengine hutokea, pia hata maji ya kipita skioni kibahati mbaya pia tatizo.
 
Jitahidi ufike hospital mkuu dos.2020
 
Back
Top Bottom