stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Kuna mwingina unakuta anasikia sauti za mivumo mingi sikioni na macho kuona ukungu, ila sikio haliumi wala kuwasha wala kutoa uchafu.. Tatizo huwa ni mishipa ya fahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tiba yyte ya hii hali? Mm nasikia Sauti sauti masikioni ila macho yapo vzr, may kupata kizungu zungu mara chache kdg.Kuna mwingina unakuta anasikia sauti za mivumo mingi sikioni na macho kuona ukungu, ila sikio haliumi wala kuwasha wala kutoa uchafu.. Tatizo huwa ni mishipa ya fahamu
Ahsante!Hicho kizunguzungu husababishwa na mishipa ya fahamu kwenye masikio kuwa mibovu.. Kuna dawa ya mishipa inaitwa neuroton inaweza kukusaidia.
Jamani nami nasumbuliwa na tatizo hili la kutokusikia yaani naweza sikia lakini nisielewe kinachozungumzwa,pia uchafu hautoki masikioni kiasi kwamba yameziba hata maji hayapiti.Naombeni ushauri wenu wapendwa
Pole sana mkuu, Mungu akufanyie wepesi uweze epukana na dhahma hii.....
Lakini...... Haujawahi kunyonywa ama kutiliwa ndimi kwenye masikio wakati wa faragha..!!??
Experience is my very good teacher wallah....teh!Dah umenichekesha mkuu, Imeshanitokezea na pia ndo hupata maumivu baada ya hapo japo hua simakubwa.
Yaan tangu nikujue hujawah kuongea pumba asee.mkuu msikize sky eclat.hata mm niliumwa na masikio haad nilinyoosha mikono juu kwa sauti ya christian bella.Onana na specialist wa Ear Nose and Throat