Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimtishe kila mtu hali hiyo huwa inaweza mtokea hata wewe inaweza kukutokea mimi imesha wahi kunitokea na kuondoka zake.
Kakutane na drSamahani wanajamvi Nina tatizo la kutoskia vizuri since 2014 maskio yangu yanatoa miungurumo, kama gas hv pia hayatoi usaha wala uchafu tatizo ni nini ndugu yanafanya kichwa kiwe kizito Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani wanajamvi Nina tatizo la kutoskia vizuri since 2014 maskio yangu yanatoa miungurumo, kama gas hv pia hayatoi usaha wala uchafu tatizo ni nini ndugu yanafanya kichwa kiwe kizito Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ndugu yangu nataka nimnunulie vile vi earphone sijui vinapatikana wap.Mana anasikia kwa mbali sana.Kuongea nae mpaka upayuke ama akutazame mdomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wapendwa
Mwezi uliopita katika halakati za maisha nilijikuta nmechelewa sana kurudi nyumbani kutokana na hali ya kuhofia usalama wangu huko ntakapopita niliamua kwenda kulala kwa jamaa yangu tunaehangaika wote kutafuta chochote kitu maana yeye hakai mbali kama Mimi hivyo tuliongozana mpaka nyumbani kwake....
Jaribu kwenda ekenywa ukapige bomba kutoa uchafuMkuu pole Mimi hapa nilipo nasikia sikio langu kama limejaaaa nimeangalia ndani ya sikio kuna utando mweupe hapa niliponimechoka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada
Hii kazi yake kuu ni IPI, na Je inapatikana madukani..?Tafuta dawa inaitwa boric acid,itakusaidia
Inaua bacteria,kusafisha sikio na kuondoa maumivu,inapatikana kwenye maduka ya dawaHii kazi yake kuu ni IPI, na Je inapatikana madukani..?