kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nakumbuka nilipokuwa mdogo nilisumbuliwa sana na sikio lakini mama alinitibu na mafuta ya kuku na mara alipoyamimina tu sikioni,hata kama linauma vipi,linaanza kutulia kabisa.Hakukuwa na pharmacy na wala zahanati haikuwa na dawa za sikio.Mafuta ya kuku ni kiboko ya magonjwa ya sikio!
Toneza tone mbili za mafuta ya habbatus saudai kutwa mara mbili siku tano. In shaa Allah utapona kwa wepesiHabari wapendwa!
Naombeni msaada huwa napatwa tatizo la kuwashwa washwa maskioni ndani.
Je ni nini kisababisho?
Je nitaondoaje hilo tatizo?
KARIBUNI!
Mafuta ya nini hayo mbona mimi siyafahamu?Toneza tone mbili za mafuta ya habbatus saudai kutwa mara mbili siku tano. In shaa Allah utapona kwa wepesi
Asante mkuuUna tabia ya kuingiza vitu sikioni? Kwa mfano ear buds, funguo n.k.?
Kuwashwa kwa sikio kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa, ikiwemo bacterial infection au fungus.
Tafadhali nenda ukamwone mtaalamu wa masiko akague masikio yako na bila shaka tatizo lako litatatuliwa.
Asante mkuuToneza tone mbili za mafuta ya habbatus saudai kutwa mara mbili siku tano. In shaa Allah utapona kwa wepesi
Yanapatikana wapi hayo mafuta?Toneza tone mbili za mafuta ya habbatus saudai kutwa mara mbili siku tano. In shaa Allah utapona kwa wepesi
Kweli huwa nikiwashwa napitisha cotton buds hata funguo.Una tabia ya kuingiza vitu sikioni? Kwa mfano ear buds, funguo n.k.?
Kuwashwa kwa sikio kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa, ikiwemo bacterial infection au fungus.
Tafadhali nenda ukamwone mtaalamu wa masiko akague masikio yako na bila shaka tatizo lako litatatuliwa.
Nenda duka la dawa asili ama dawa za kiarabu utapataYanapatikana wapi hayo mafuta?
Asante mkuuNenda duka la dawa asili ama dawa za kiarabu utapata
Duuuu...mkuu noma sana, sipati picha ukiwashwa kule kwa jaza ujazwe itakuwajeKweli huwa nikiwashwa napitisha cotton buds hata funguo.
Habari Je Umefanikiwa tiba. Nina mdogo wangu anatatizo kama Lako Naomba kujua Kama Umefanikiwa utujuze twende wapi my namba 0786855280habari ,
Nna matatizo na sikio langu la kushoto tangu nipo mdg, niipima n kupewa "hearing aid" bt nkashndwa kuitumia kwa mda mrefu maana nilkua naskia saut kuubwaa ad kichwa kinauma,,, so nkaamua kuvaa darasan af nikitoka navua.
Tatizo langu ss lmezd kdg,yan sikio la kulia pia lnauma istoshe nackia saut za ""zyiiiiiiiiiiiiii"" , nijuavo mimi ,hii hali ya kupata hii saut maskion huitwa TITTUNIS .Mnisadie ni vip naeza kupona hii hali n pia ka kuna uwezekano wa kupata matibabu ili nipone n kuweza kusikia vzr kama wenzangu.
Pole kiongozi. Mmejaribu kumpeleka kwenye Hosp kubwa zenye vitengo vya ENT? Wamesemaje?H
Habari Je Umefanikiwa tiba. Nina mdogo wangu anatatizo kama Lako Naomba kujua Kama Umefanikiwa utujuze twende wapi my namba 0786855280