Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Huwa kunadawa ya majani hupondwa pondwa kisha inaviringishwa kwenye jani pana nakunyunyuziwa kwenye sikio huwa inamuwasho fulani hivi inapoingia sikioni na huchukua siku 3 hadi 4 ikichelewa hadi wiki 1 kupona lakini siijui dawa yenyewe marehemu babu angekuwepo angeweza kukusaidia ndugu yangu.
Pole sana
 
Kuna dawa kama hiyo niliwahi kuitumia,ila yenyewe unaviringiaha njani mbili,moja nilikuwa naviringisha alafu na choma ili Tone zake ziwe na moto fulani.nyingine nilikuwa sipashi moto,zote nilikuwa natumia kwa mkupuo,tone za moto kisha inafuata ya baridi.ila sina kumbukumbu nilikuwa naanza na hipi..
 
Pole sana, sasa kunanafuu uliyoipata wakati ulipokua ukiitumia hizo dawa?
 
Classmate wangu aliwahi kuugua hivyo enzi za primary badae akawa hatoki usaha nilipomuuliza katumia dawa gani akasema walichemsha kuku then mafuta ya kuku ndo wakawa wanadondoshea sikioni kwasasa sijui alipo so sijui kama kuna dawa nyingine alitumia.
 
classmate wangu aliwah kuugua hivyo enzi z primary badae akawa hatoki usaha nilipomuuliza katumia dawa gan akasema walichemsha kuku then mafuta ya kuku ndo wakawa wanadondoshea sikioni...kwasasa sjui alipo so sjui kam kun dawa nyingine alitumia
Haya nitalifanyia kazi.
 
Pole sana, hakikisha unatumia habat soda unaweza ukashangaa umepona kabla haujaenda hata hospital
 
classmate wangu aliwahi kuugua hivyo enzi za primary badae akawa hatoki usaha nilipomuuliza katumia dawa gani akasema walichemsha kuku then mafuta ya kuku ndo wakawa wanadondoshea sikioni kwasasa sijui alipo so sijui kama kuna dawa nyingine alitumia
Tena yanadondoshwa na unyoya.
 
Nenda hospitali ikiwezekana muons mtaalamu wa Ear Nose and Throat (ENT)
Mali za dose ya dawa utakayopewa.
 
Nawasiwasi na umri wako wapi kaandika vibaya kama ukiona kitu hakija kupendeza si uachane nacho.. Watu wengine kujifanya kila kitu mnajua fyuu kumbe hamna polite . [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Pole Sana kwa tatizo linalokusibu my kaka ...Fanya uende hospital kubwa/ nzuri ufanyiwe uchunguzi wa kina upewe matibabu,
Huo ugonjwa unatibika nimeshuhudia watu wengi wenye tatizo kama lako na wamepona .
 
Tumia cannabis sativa
Majani mabichi ya mmea huu ni dawa nzuri sana ya sikio unayachuma kisha unakamua ile juisi yake unamwagia ndani ya sikio, niliwahi tumia kwa mtoto ilimfaa sana.
Au wengine wasema tumia mafuta ya kuku ...haya sijawah tumia nasikia wakisema ni dawa pia.
Pole sana
 
Cannabis sativa pia majani mazuri sana kutibu maradhi ya sikio.
 
classmate wangu aliwahi kuugua hivyo enzi za primary badae akawa hatoki usaha nilipomuuliza katumia dawa gani akasema walichemsha kuku then mafuta ya kuku ndo wakawa wanadondoshea sikioni kwasasa sijui alipo so sijui kama kuna dawa nyingine alitumia
Ndiyo nikweli yana tibu ila huyo kuku awe wa kienyeji
 
Aisee nimeuchek huo mmea nikahisi ni marijuana
 
Vipi hauhisi homa au kichwa kuuma.
Kusikia bado unasikia vizuri??
Kuna haja ya kukutana ma mtaalamu akufanyie ear syringing, ila kama hauna access basi tafuta hata mafuta ya kupikia yapashe moto kigodo sana af uwe unaweka matone sikioni mara 2 kwa siku kwa dakika 5 - 10, kisha unayamwaga na kujifuta halafu unaweka dawa ya sikio ya matone ya ciprofloxacin, wakati huko huo ukiwa na dose ya kunywa ya vidonge ya Ampiclox na Metronidazole ya siku 7.

Halafu ushauri wa ziada, nenda kapime kisukari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…