Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

kuna baadhi ya ingredients nahitaji kuhakiki namna ya kuzichanganya kama sijasahau, ngoja natafuta namba ya daktari kwenye group fulani anielekeze vizuri. Isije nikachanganya mafaili, maana ni kama miaka miwili imepita tangu nimetengeneza iyo dawa
 
Tunakunywa Pepsi baridi na popcorn tukisubiria jibu hili
 
Mkuu tunasubiri reply yako pengine inaweza kuwa msaada kwa wengi wetu humu...
jamaa amekuwa mgumu,,,kasema kama ni shida mnayo lazima aongee na nyinyi kama nyinyi

kaniambia hawezi nitajia hivyo vitu coz ni ujuzi unaohitaji pesa na ana hofu kwamba nitaitumia nafasi hii kupiga hela ambayo yeye hataipata. yaani anahisi akiniambia mimi, mimi nitaitumia huo ujuzi kibiashara zaid na yeye hatanufaika, nadhani mmenielewa jamani
 
Mnaenda kupigwa sasa.. kwani akitoa huo ujuzi hata kwa hela hautaweza kuusambaza..?

Ndugu shitukeni..😂
 
Mnaenda kupigwa sasa.. kwani akitoa huo ujuzi hata kwa hela hautaweza kuusambaza..?

Ndugu shitukeni..[emoji23]
kwakweli inabidi tu mshtuke,,ila mpaka hapa mwenye shida inabidi tu aende mpka hospital ya meta kule mbeya akaonane nae ana kwa ana. Ndio njia ya pekee iliyobaki.
 
kwakweli inabidi tu mshtuke,,ila mpaka hapa mwenye shida inabidi tu aende mpka hospital ya meta kule mbeya akaonane nae ana kwa ana. Ndio njia ya pekee iliyobaki.
Aisee jamaa unajitengenezea daraja tu..😂
 
Kwa msaada zaidi ebu pigapicha utume ili tujue tunakusaidiaje
 
unaweza
Ni vyema kama upo mbeya, kuna daktari alinisaidia dawa fulani. Yupo meta hospital. Japo haikuwa dawa artificial ni hizi hizi za virutubisho vya kutengeneza. alinielekeza nikatengeneza zamani kidogo. maana uume wangu ulisinyaa na kulegea sababu ya PUNYETO. Nilitumia kwa miezi miwili tu, kuna dada akaanza kuniambia nimeongezea uume [emoji23][emoji23] tangu hapo sijawaza tena. Mke wangu kuna wakati huwa ananisisitizia tusiwe tunaenda kwa haraka kabla yeye hajaloana, maana nitamuumiza. Hivyo huwa namuandaa mapema. Bottom line, NILIAMBIWA NIACHE KABISA PUNYETO KAMA NATAKA KUUKUZA UUME WANGU.
kushare kwa waliopo dar?
 
Acha kumuibia mwenzio huo mti wa hiyo dawa unaitwa myegea (Kigelia Africana) utafute Popote ulipo inapatikana. Ukiupata tafuta tunda lake changa (huo mti unazaa matunda marefu kama matango ila hayaliwi) liweke alama, halafu lichanje litatoa utomvu. Ule utomvu jichanje kwenye uume wako na upakae, na baada ya hapo utakuwa unaangalia jinsi uume unavyoongezeka mpaka saizi uitakayo then unarudi kwenye ule mti wa myegea na kukata lile tunda ulilochanjia. Hiki ndicho babu yangu, mganga maarufu wa enzi hizo, alivyonifundisha.
Kuna vitu vingine sio vya kuigiza,hasa msuala yahusuyo hayo mnayo yataja,
 
Habari wana jamvi,

Naitwa James Jackson nipo Mbeya. Nina umri wa miaka 28 sasa, tatizo hili nimekuwa nalo tangu utotoni na mpaka sasa siwezi hata kuanzisha mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ya kidude kuwa kidogo sana.

Naomba kama kuna mwenye anaweza akanisaidia alternative ya kufanya nionfokane natatizo hili nitamshukuru sana.
ephen_ njoo uongee chochote
 
Back
Top Bottom