Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

Mbili kaka
1724966741085.png

Kama hizo 2" ikiwa imedisa basi kweli una kilema ndugu.
 
Eti kilema au suluhisho lake anatakiwa awe anaoa mbilikimo wenye muonekano kama watoto wa shule ndio wataenda sawa😃😃😃😃😃
 
Habari wana jamvi,

Naitwa James Jackson nipo Mbeya. Nina umri wa miaka 28 sasa, tatizo hili nimekuwa nalo tangu utotoni na mpaka sasa siwezi hata kuanzisha mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ya kidude kuwa kidogo sana.

Naomba kama kuna mwenye anaweza akanisaidia alternative ya kufanya nionfokane natatizo hili nitamshukuru sana.
😂😂😂😂Alimaarufu kama bamia
 
Wewe huna tatizo, tatizo lipo kwa wanawake waliotanuliwa uchi na wanaume mbalimbali.
Hakunaga size inayoweza fiti kwenye uke wa mwanamke, yani hakunaga dawa ya kufanya size yani kichwa cha uume kilingane na ukubwa wa kichwa cha mtoto aliyezaliwa leo.
 
Katafute tiba kwa wasukuma wakupe muegea.
 
Muandishi ukweli Ni kwamba wewe sio mwenye jina uliloandika Ila unataka kumharibia huyo mwenye jina ambaye una bifu naye.

Sio fresh kumharibia MTU kiasi hiki.
 
Wewe huna tatizo, tatizo lipo kwa wanawake waliotanuliwa uchi na wanaume mbalimbali.
Hakunaga size inayoweza fiti kwenye uke wa mwanamke, yani hakunaga dawa ya kufanya size yani kichwa cha uume kilingane na ukubwa wa kichwa cha mtoto aliyezaliwa leo.
Naomba kuuliza kwann kajistukia au ajawai kutana na bikra yenye mdwiko😂😂😂mpk ajistukie hakunaga mwenye kibamia mwamba tulia tu
 
Back
Top Bottom