Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

kuna baadhi ya ingredients nahitaji kuhakiki namna ya kuzichanganya kama sijasahau, ngoja natafuta namba ya daktari kwenye group fulani anielekeze vizuri. Isije nikachanganya mafaili, maana ni kama miaka miwili imepita tangu nimetengeneza iyo dawa
 
Tunakunywa Pepsi baridi na popcorn tukisubiria jibu hili
 
Mkuu tunasubiri reply yako pengine inaweza kuwa msaada kwa wengi wetu humu...
jamaa amekuwa mgumu,,,kasema kama ni shida mnayo lazima aongee na nyinyi kama nyinyi

kaniambia hawezi nitajia hivyo vitu coz ni ujuzi unaohitaji pesa na ana hofu kwamba nitaitumia nafasi hii kupiga hela ambayo yeye hataipata. yaani anahisi akiniambia mimi, mimi nitaitumia huo ujuzi kibiashara zaid na yeye hatanufaika, nadhani mmenielewa jamani
 
Mnaenda kupigwa sasa.. kwani akitoa huo ujuzi hata kwa hela hautaweza kuusambaza..?

Ndugu shitukeni..😂
 
Mnaenda kupigwa sasa.. kwani akitoa huo ujuzi hata kwa hela hautaweza kuusambaza..?

Ndugu shitukeni..[emoji23]
kwakweli inabidi tu mshtuke,,ila mpaka hapa mwenye shida inabidi tu aende mpka hospital ya meta kule mbeya akaonane nae ana kwa ana. Ndio njia ya pekee iliyobaki.
 
Aisee jamaa unajitengenezea daraja tu..😂
 
kwakweli inabidi tu mshtuke,,ila mpaka hapa mwenye shida inabidi tu aende mpka hospital ya meta kule mbeya akaonane nae ana kwa ana. Ndio njia ya pekee iliyobaki.
Hivi ukisema ni wewe utapungukiwa na nini ?
 
Kwa msaada zaidi ebu pigapicha utume ili tujue tunakusaidiaje
 
unaweza
kushare kwa waliopo dar?
 
Kuna vitu vingine sio vya kuigiza,hasa msuala yahusuyo hayo mnayo yataja,
 
ephen_ njoo uongee chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…